Hapa nilipo nimekosa usingizi kwa mawazo... Why mimi sina bahati kwenye mapenzi wala sina furaha kwenye mapenzi.. Sijawai kufurahia mapenzi wala kumpata niliempenda akanipenda jamani hii kitu imekuwa ikiniumiza kwa muda mrefu na umri unakwenda inazidi kuniumiza.. Sijawai pata dawa ya kumaliza hili tatizo naona aibu ata kushea na rafiki zangu maana mtoto wa kiume ni kama kukili udhaifu.... Hapa tu sasa hivi nimetoka kudondosha chozi...
Imagine nimekuwa namsichana karibia miez 3 sasa nampenda hatari lakini yeye haonyeshi kujali namfanyia kila kitu anachotaka na kilichoniumiza zaidi alipata ugonjwa juzi akazidiwa nusu ya kufa hakuwa na msaada kwao wala marafiki na alitoka kuniignore ila nikamsaidia matibabu yote ametoka hospital anaendelea kunuzingua simu zangu hapokei meseji anajibu akijisikia na mbaya zaidi ananikwepa inapofikia swala la ku-make love. Huyu msichana nimemzidi kila kitu yeye anafanya kazi kwenye duka la nguo elimu form 4 mimi nna kazi nzuri, nna elimu ya masters...
Na huyu sio wa kwanza ni wasichana wengi mno wananizingua wengi wanaonekana wapo interested na pesa na ata nikiwapa bado wanazingua nimejaribu wasomi wa kawaida wanavyuo na krba zote naona wengi wanaishia kunitumia no love kabisa... Sasa wadau sijui nna tatizo gani yani najihisi down mno kama dunia inanikataa kuna mtu ashawai kuniambia napenda masista duu alafu sio mjanja kwa type hixo hizo thus why ila wa nataka nn kwan
au sijui sina mvuto maana kamwili kangu ni kadogo au sijui ni mstaarabu sn au mpole mno maana mie sio mwongeaji alafu nna huruma mno sipendi kumkera mtu,, najitahd kuvaa kisasa vitu vya gharama big labels nanukia vzr ila sistui ... Dah sijui ata naandika nn nahis ninevurugwa sipo sawa kesho sijui ata kama nitaweza kufanya kazi yani hapa nitoke niende ata masai hapo au wapi sijui nitulize kichwa maana nahisi dunia sina zari na mapenzi oh God plz help me

Kwani una umri gani mkuu? Na umbo dogo ni kuwa mfupi sana ama ni wembamba? Kama wembamba nenda Gym ukaongeza muscles mbili tatu. Cha pili try to work on your confidence!. Mtu na masters yako unaendeshwaje na binti wa form IV!? Money and gifts means nothing compared to swag kwa warembo hawa wa dot com!!
Mtu hata kupewa anabaniwa sasa amechanganywa na nini? Sura ?Kwenye mapenzi ata mtoto wa darasa la 4 akikupatia atakuendesha yani hapo usiseme kabisa.
You got it brother.Many thanks brother.. Umenipa nguvu sana kwa maneno yako.
Never one to let an opportunity go to wasteNjoo kwangu
You got it brother.
And I commiserate with you big time.
So just hang in there and everything will be alright.
Sometimes life's journey has a lot of challenges.
The road is long with many hills, valleys, curves, and potholes.
You just gotta take every experience, good or bad, in stride and eventually things usually pan out.
I'm rooting for you my man.
....Mkuu una kibamia. Period
Wanamhisi..si kashasema ana kaumbo kadogo dogo... Wanawake wanaendeshwa na hisia sio uhalisia!"kibamia" .... bidada ww sasa hao anaosema wanakataa "malove dave" hcho "kibamia" walikionaje?