Ujinga ni kuona wenzako wajinga.
Ujinga ni kuendelea kuwa mjinga hata baada ya kuelimishwa...kama MTU mjinga acha aonekane mjinga
Ujinga ni kuona wenzako wajinga.
Una undugu na lemutuz?
mweeeewkuna mdada 1 alisoma jangwani miaka 1983-1985 alikuwa anaitwa Joyce anatokea mbeya dada huyu alikuwa haandiki notice wala hana dafutari hata 1 alikuwa anasoma PCM cha ajabu hamna mwanafunzi aliyekuwa anampita kwenye mtihani na alikuwa anapata alama zote Ingawa alikuwa anachanganyikiwa kila baada ya wiki 2 alikuwa ni wa kwenda kulazwa mhimbili kutkana na mtatizo ya akili.bahati mbaya tena hakumaliza shule kwa hayo hayo matatizo madaktari walisema akili zake zimezidi kipimo!.kwa mfano huo huyu dada tutamuweka kundi ani?
Mh. Are u sureso aibu ndo inafanya nwe hiv. inaweza lakin. asante kwa jbu lko
umenfananshaWw si yule wa kila kitu unadai hujamwambia mama au nimekuchanganya...sorry km ni ww count IQ yako below negatives
ndio nna iq kubwaWewe ndo wakua na iq kubwaa....kwa lipi hasa?????
HahahaUna undugu na lemutuz?