Nahisi nina IQ kubwa

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,390
Coz nkiangalia wazee watu wazima wanafanya mambo ya kjingaa, wanawaza ujinga, wanatoa mawazo ya kjinga kwa umri wangu siwezi kufanya na sijawahi kufikiri kama ntakuja kufanya ujinga wanaofanya. Nikiangalia ambao tunalingana umri naona wanafanya mambo ya kitoto, siwezi kufanya wanayofanya.

Kwanini inakua hivi, inawezekana nina IQ kubwa au kuna sababu nyngine?

Msaada
 
Una aibu sana we sio muongeaji ndio maana unafikilia sana wanatoongea wenzio
 
Hebu njoo pm tupige stori usiku huu nina maneno matamu nikwambie

Seriously
 
Iq haiwez kupimwa namna hiyo,ww unasikiliza watu ambao pengine hujui wana malengo gani, unaweza kuona watu wanaongea pumba kumbe wenzio wanaingiza hela na hizo pumba ndio zinatakiwa, pia swala la umri, exposure, na level yako ya elimu zina matter sana kwenye judgement zako. Unaweza kuwaona wengine wajinga kumbe ww hujawa exposed na mambo mengi, au kuna theories na practice nyingi ambazo hujazifahamu, hasa hasa kama sampling yako umeifanyia humu unaweza kuwa una misjudge mind ya mtu mmoja tu au watatu.
 
IQ haipimwi hvyoo ndugu,kuongea mambo ya ajabu huambatana na mazingira ulipo,kuna watu wanatalk shit SKU nzima na ni wazimaah vichwani...kama unahis una IQ kubwa Fanya Mensa IQ test online,utest kchwa chako
 
my name is my name
Hujataja umri wako wala Elimu yako,so tukusaidieje?
Binafsi,naweza kutumia writing-style yako kutambua kiwango cha IQ ulichonacho.

Hakuna Brilliant anayeweza kuandika Hovyo hovyo kama wewe.
Ulikuwa unawahi wapi?Mbona Maneno yapo nusunusu?Hebu Edit ulichoandika.

sorry,your IQ Is Below Average.
 
Last edited by a moderator:
coz nkiangalia wazee, watu wazma wanafanya mambo ya kjingaa, wanawaza ujnga, wanatoa mawazo ya kjinga kwa umri wngu siwez kufanya na sijawah kufikir km ntakuja kufanya ujinga wanaofanya. nkiangalia ambao tunalingana umri naona wanafanya mambo ya kitoto, siwez kufanya wanayofanya. kwann inakua hiv inawezekana nina IQ kubwa au kuna sabab nyngine? msaada

Nenda Hospitali ukapimwe, IQ=Intelligent Quotient, Mwenye IQ kubwa kuliko Binadamu Wote Ni Mwanamke.......
Bado kuna vitu unamisi mkuu.. ukivipata stage zote utapita
 
Bible inasema yeye ajidhaniaye kuwa amesimama aangalie asije anguka.
Unaweza kudhani wanaongea ujinga leo, kumbe wana uzoefu na wanachokisema. Angalia mbumbumbu usijekuwa ni wewe baba.
 
nameless man acha kuchekesha,watu wanatofautiana mitazamo kulingana na uelewa wa mambo unao tokana na exposure na education level.isitoshe hujawahi kugundua hata kitu kimoja kutokana na hizo theories unazozisoma
 
kuna mdada 1 alisoma jangwani miaka 1983-1985 alikuwa anaitwa Joyce anatokea mbeya dada huyu alikuwa haandiki notice wala hana dafutari hata 1 alikuwa anasoma PCM cha ajabu hamna mwanafunzi aliyekuwa anampita kwenye mtihani na alikuwa anapata alama zote Ingawa alikuwa anachanganyikiwa kila baada ya wiki 2 alikuwa ni wa kwenda kulazwa mhimbili kutkana na mtatizo ya akili.bahati mbaya tena hakumaliza shule kwa hayo hayo matatizo madaktari walisema akili zake zimezidi kipimo!.kwa mfano huo huyu dada tutamuweka kundi ani?
 
Back
Top Bottom