Nahisi nina gundu la mapenzi kabisa

Nahisi nina gundu la mapenzi kabisa

Arekebishe ili iweje? Kwani huyo ke naye hataki cha uvunguni? Bills si nitamlipia au? Kwani atatumia hela zake? Hakuna mtumwa wa mwenzake, wote tuwajibike kwani mapenzi ni suala la wote 2, ya nini kuhangaishana?
 
Wew jiwekee ratiba kwa cku tongoz ata madem 10 ndani ya mwez huwez kosa bandugu
na dem akikataa tongoza ata familia nzimaa
[emoji3][emoji3][emoji3] hii nimeipenda kuna kademu hakanitaki acha nianze kutongoza rafiki zake.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] hii nimeipenda kuna kademu hakanitaki acha nianze kutongoza rafiki zake.
😁😁😁😁😁😁😁Hapo sawa mpaka wukukome.atakaye kukubalia nenda Naye kwa umakini.😁😁😁😁😁
 
Kuna kipindi nilikuwa navaa suruali za kadeti shati za mikono mirefu na four angle nilikuwa naishiwa kupendwa na wamama watu wazima.......😂😂😂😂 nilivyoanza kuvaa jeans mpauko na tisheti halafu najipulizia na pafyumu siku hizi napendwa mpaka na vitoto vya sekondari
 
Kuna kipindi nilikuwa navaa suruali za kadeti shati za mikono mirefu na four angle nilikuwa naishiwa kupendwa na wamama watu wazima.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilivyoanza kuvaa jeans mpauko na tisheti halafu najipulizia na pafyumu siku hizi napendwa mpaka na vitoto vya sekondari
Inapendwa hela yako
 
Yani sasa hivi nina miezi 7 sina mchumba, kila ninayemtongoza lazima asumbue, na huwa sipendi kusumbuliwa au kumbembeleza sana. Naishi maisha ya kununua tu za barabarani.

Naombeni "Connexion" za waganga naona kabisa kwa hatua ambayo nimefikia nahisi nitakuwa nimetupiwa jini mimi kabisa, siyo bure!
Unaijua Nderihunwa, itafte masta
 
Mbona unaumiza akili bure, hao hao unaoita wa barabarani kuna wenzako wanatongoza mchana na wanazungushwa hata mwezi mzima, wengine wanatamba nao mchana wameshikwa akili haswa na wanahonga haswa na wengine wanajiona wamepata wife material kabisa, hawajui Kama usiku wapo barabarani wanaliwa kimasikhara. Dunia duara Kiongozi.

Relax Kiongozi madem ni hawahawa
Akili mingi [emoji23]
 
Yaani hii stori nilihisi kama uliniandikia mimi maana umelenga mle mle... Ila mimi sihitaji kwenda kwa mganga matatizo yangu nayajua mwenyewe Nina haraka sana ya kutaka kula mzigo mapema halafu dem anakataa anajua huyu ayanipiga na chino... Kingine siwaamini madem ovyo maana washawahi kula nauli zangu na ndo maana situmi tena nauli mpaka akope mwenyewe aje... Na hawezi kukopa anachotaka atumiwe ili ale nauli hapo ndo kunakuwa na mgogoro mpaka kila mtu anachukua hatua zake. Ila mimi kama mimi kwasasa mdada akinambi tuma nauli ndo nakausha mazima.
 
Back
Top Bottom