Mkuu stress za mapenzi ni kisanga na pia upweke ni kisanga huna gundu bali kuna kitu unamiss au huna vyote, huna cheo, muonekano wako wa rafu au huna pesa na pia sio sweet talker anyway mimi nimechagua kilevi kwa sasa na kutafuna minaokutana bao tukimaliza kila mtu 50,hakuna kuchukua nambaYani sasa hivi nina miezi 7 sina mchumba, kila ninayemtongoza lazima asumbue, na huwa sipendi kusumbuliwa au kumbembeleza sana. Naishi maisha ya kununua tu za barabarani.
Naombeni "Connexion" za waganga naona kabisa kwa hatua ambayo nimefikia nahisi nitakuwa nimetupiwa jini mimi kabisa, siyo bure!
Jitakase.Aah kwa kwel hapa lazma sangoma ahusikee....kuna mshenz huko aliko atakuwa anafurahia kuona mpngo wake umefaulu...imagn unamsalimia dada tu hata huna baya nae ila anatokea tu kusonya as if umemtukana...nahc labda nainekana ka kinyesi kwao...hili siwez endelea kulivumilia..kama ni hela hilo haliwez kuwa tatizo cz zipo za kubadili mboga
Duh!Wale malaya huwa wanaroga wateja wasifanikiwe kwenye mapenzi ili warudi tena.
🤣🤣🤣🤣Ila jamaniYani sasa hivi nina miezi 7 sina mchumba, kila ninayemtongoza lazima asumbue, na huwa sipendi kusumbuliwa au kumbembeleza sana. Naishi maisha ya kununua tu za barabarani.
Naombeni "Connexion" za waganga naona kabisa kwa hatua ambayo nimefikia nahisi nitakuwa nimetupiwa jini mimi kabisa, siyo bure!
Pole aisee ila utapata tu mtoto mbichii mzurii mileage inasoma zero kabisa😀 it's a matter of time tu.Aah kwa kwel hapa lazma sangoma ahusikee....kuna mshenz huko aliko atakuwa anafurahia kuona mpngo wake umefaulu...imagn unamsalimia dada tu hata huna baya nae ila anatokea tu kusonya as if umemtukana...nahc labda nainekana ka kinyesi kwao...hili siwez endelea kulivumilia..kama ni hela hilo haliwez kuwa tatizo cz zipo za kubadili mboga
Kuna sister mmoja Yuko Mwanza... Yuko very talented kwenye utabibu wa magundu, majini na mikosi.Huna tofaut na mimi mkuu...nipo kweny hatua za mwsho ...nitaenda kwa mtaalamu..nahc kuna mwanamke kanirushia pepo la kukataliwa maana hata kazi zile za kawaida zinanitolea nje...kweny appearanc sina shaka kweny hilo due pamba nabadili daily na wala sina ile sura pasono..hili wala sihitaj ushauri..nahitaj tu mganga konki...period
Kuna sister mmoja Yuko Mwanza... Yuko very talented kwenye utabibu wa magundu, majini na mikosi.Yani sasa hivi nina miezi 7 sina mchumba, kila ninayemtongoza lazima asumbue, na huwa sipendi kusumbuliwa au kumbembeleza sana. Naishi maisha ya kununua tu za barabarani.
Naombeni "Connexion" za waganga naona kabisa kwa hatua ambayo nimefikia nahisi nitakuwa nimetupiwa jini mimi kabisa, siyo bure!
Uzur mi nipo igoma nakujia pm mkuu..shukran za dhatiKuna sister mmoja Yuko Mwanza... Yuko very talented kwenye utabibu wa magundu, majini na mikosi.
Amenisaidia hata Mimi na nilimuamini sababu alikuwa mwanamke na kila mtu hata mtaani anamuamini so yes I Gambled and it worked, Sasa hivi wanawake Mimi ndio nawakimbia.
Anaishi Mwanza maeneo ya Kishiri. Namba yake DM.
Kwa ishu za jini yaani ni siku moja tu! Utapona niamini mimi. I've been there, done that.
Mhhh...ngumu mkuu..kuna muda nakosa hadi mood ya kutema madinI cz najua nitakataliwa tuPole aisee ila utapata tu mtoto mbichii mzurii mileage inasoma zero kabisa😀 it's a matter of time tu.
Mkuu, kuna wakati kuwa single kuna faida kubwa sana. Sasa ngoja umpate mwanamke alafu shida zote za nyumbani kwao akuletee wewe kisha uje ufungue mada nyingine ya kuomba ushauri.Yani sasa hivi nina miezi 7 sina mchumba, kila ninayemtongoza lazima asumbue, na huwa sipendi kusumbuliwa au kumbembeleza sana. Naishi maisha ya kununua tu za barabarani.
Naombeni "Connexion" za waganga naona kabisa kwa hatua ambayo nimefikia nahisi nitakuwa nimetupiwa jini mimi kabisa, siyo bure!
Waganga hawatakusaidia, sanasana watakoongezea gunduYani sasa hivi nina miezi 7 sina mchumba, kila ninayemtongoza lazima asumbue, na huwa sipendi kusumbuliwa au kumbembeleza sana. Naishi maisha ya kununua tu za barabarani.
Naombeni "Connexion" za waganga naona kabisa kwa hatua ambayo nimefikia nahisi nitakuwa nimetupiwa jini mimi kabisa, siyo bure!
Pamoja mkuu! Uchawi upo na wachawi wapo usipojitolea miiba yao hutoboi wakati juhudi unaonyesha.Uzur mi nipo igoma nakujia pm mkuu..shukran za dhati
Naomba uniwekee contact pm mkuu tuyqjengePamoja mkuu! Uchawi upo na wachawi wapo usipojitolea miiba yao hutoboi wakati juhudi unaonyesha.