#COVID19 Nahisi nina Covid 19

Ukosawa mkuu we ilikupitia ... hopeulitoa SADAKA wenye madeni WANAKUFA KABISA kwa mawazo
Hiyo Hali ilinikuta mwezi wa 3 nilipima malaria na UTI Kwenye hospital zaidi ya 4 na bado hawakuona ugonjwa ndipo walinishauri na kunipa dawa za Aina tatu
(1) athrizomyicin tabs(azuma)
(2)ped zinc
(3)vitamin C na panadol

baada ya siku 4 nilikuwa poa kabisaaa
Mkuu.kunavitqmini wanatoa zinazink Inaitwa crotene hizi mkiweza.nunua wapeni familia zinawakinga msisubiri waumwe
 
jisalimishe haraka maaana kirusi cha awamu hii kinapuputisha! pia hakiangalii kijana wala mzee kinapiga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hope tukichat nae akiturukiiiiiii

Moshii balaamkuuu matanki Kama yotee loh yaan daily ukionaa matarumbeta yamaongozana sio harusi zile wanampeleka mtu kuzika yaan ukikaa njiapanda unaweza kuwachizi wanavyopitishwa
 
Pumbavu, badala upige nyungu, malimao, tangawizi, pilipili kichaa n.k wewe unakimbilia kutafuta hospitali kupima coona? Utakata moto kizembe wewe! Kwa vile kuna improvement endelea na hizo mambo pia kuna mdau hapo juu kashauri kwamba yeye alipiga Azthromycin, ped zinc n.k pia tafuta hizo naona wengi wanashauri eti zinapunguza makali ya coona
 
Hizo dalili zina define Corona, kupima jaribu Muhimbili au Mwananyamala uliza mapokezi, ila muhimu usiuwaze sana huo ugonjwa as long as umepata improvement then never look back.

Tumia malimao (juice) wataalamu wanasema yanaongeza kinga ya mwili kwa haraka, uchangamshe mwili wako kwa mazoezi ule vizuri, after two days utakuwa sawa.
Achanganye na pilipili cayyene,,zile ndefu nyekundu.
Ziko na high quality Vitamin na ni blood thinner
 
Kwa hali niliyonayo nahisi hii ni covid 19 3rd wave Delta.

Kwa muda wa wiki nzima hii inayoisha kesho nimekua naumwa ugonjwa usiojulikana. Nimeenda hospitali zaidi ya 2 bado sionyeshi ugonjwa wowote.

Kuanzia jumamosi iliyopita nilikua naumwa kichwa kisicho cha kawaida, nikapewa dawa za kutuliza maumivu lakini wapi, jumatano nikaenda hospitali nyingine nikabadilishiwa dawa kichwa kimeacha kuuma ila mwili hauna nguvu, nimekua mnyonge na dhaifu sana.

Sina ladha ya chakula na wala sitaki kula, nataka muda wote niwe nimelala hadi mbavu zinauma, sihisi harufu yoyote lakini pia nimeanza kuhara mara moja moja na kukohoa kifua kinawasha washa.

Naomba kufahamu hapa Dar ni wapi naweza kwenda kupima covid. Ingawa nimeanza kuona improvement lakini natamani nipime niwe na uhakika.

Ahsante.

%100 hiyo ni covid19....wahi ukapime haraka
 
Nakushauri tu usiende huko wanapopaita Hospital

ndio unaenda kujimalizia huko,nina mjomba angu ilimpata

hu ushauri wa kutokwenda hospital alipewa na doctor kabisa

kilichofata ni uncle akawa anatibiwa home na kufata kila anachoambiwa

na doctor akiwa home,(ili cost sana) but kwasasa ni mzima yuko anadunda huko.

Ninachorudia kukushauri nawewe boss,Jitibie home Huko hospital utaenda tu nyanyapaliwa

na mwisho ufe kwa Mengine watu tuseme ni covid, Mzee tulia home kula nyungu na kila dawa ya asili utayoshauriwa na wataalamu.
 
Haraka Sana tumia dawa hii.

Nunua bicarbonate of soda nunua na limao ylza kutosha.
Kata limao mbili kama ni ndogo au moja kama ni kubwa kamulia kwenye mug ya kunywea chai. Ondoa mbegu. Chukua nusu kijiko cha chai cha bicarbonate of soda tia kwenye maji ya limao. Itafoka Sana na povu acha itulie halafu chukua maji Moto yanayochemka mimina kwenye kikombe taratibu na itafoka tena na povu. Acha kidogo itulie na chukua kijiko Indoa povu kidogo lililobaki. Kunywa asubuhi, mchana na jioni unapolala.
Ndani ya siku Moja au mbili utarudi kutoa ushuhuda hapa.
Endelea kunywa kwa siku 7 mfulilizo.

Angalizo: Kama Una presha ya kupanda tumia robo kijiko ya bicarbonate of soda.

Wakati huo huo blend matango, limao na ganda lake nusu, tunguu swaumu punje 3, kariti Moja, tangawizi ukubwa wa kidole gumba na majani 5 mchicha kunywa kwa budii.

Kwa ulivyoeleza ni korona na hujapata dawa na unazidi kupoteza muda kirusi kinazidi kuelekea kubaya.

Pambana.

Ila sasa kila siku dalili za korona ziko mitandaoni na matangazo ya serikali hamtaki kusoma maana mnabeza hakuna Korona na wengine wanambeza mheshimiwa Rais. Ni hivi Korona IPO na inaua. Juzi kijijini Moshi huko nilikooa geneza Nne Kanisani kwa mpigo na huko Marangu kwa rafiki yangu marehemu 7 Kanisani kwa ibada.

Tuendekee kuchukua tahadhari.
Moshi ni ground zero,kwa takriban miezi 6 sasa..
 
Wakuu covid is real hapa nilipo mimi binafsi kuna watu zaidi ya watano ninaowafahamu wanaugua wako hospital. Jana kuna mwingine amepelekwa kuzikwa Kigoma.

Kinachoniuma ni kuwa mtaani watu hawana habari yoyote wao maisha yasonge tu. Halafu wakikuona umevaa barako na una sanitizer wanakushangaa.

Kupanga ni kuchagua. Tuwakumbushe tuwapendao kuchukua tahadhari.

Wale wabishi wabishi wafuasi wa magufuli wazee wa "R.I.P NA MISS YOU BABA"njooni hapa msome comment ya Chaliifransisco....acheni ubishi wa kijinga

Kamanda watu wanachomoka aise...huku nilipo hospitali zina wagonjwa wengi mno n others wanapoteza maisha...hali ni mbaya ndugu zanguni....

Vichwa ngumu sidhani kama watanielewa
 
Yaani ulipozaliwa inaonekana mama.alisema NENO hilihili I.pumbavu ndio.umentesa hivi
Kufuata utani wa Kisukuma utakuwa chizi nyumbu wewe! Unafikri hapo namaanisha kumtukana huyo mdau? Kama hayujakaa huku kwetu bora ujinyamazie hii ndiyo inatufanya tunakuwa watani wa kila kabila hapa nchini!
 
Kwa hali niliyonayo nahisi hii ni covid 19 3rd wave Delta.

Kwa muda wa wiki nzima hii inayoisha kesho nimekua naumwa ugonjwa usiojulikana. Nimeenda hospitali zaidi ya 2 bado sionyeshi ugonjwa wowote.

Kuanzia jumamosi iliyopita nilikua naumwa kichwa kisicho cha kawaida, nikapewa dawa za kutuliza maumivu lakini wapi, jumatano nikaenda hospitali nyingine nikabadilishiwa dawa kichwa kimeacha kuuma ila mwili hauna nguvu, nimekua mnyonge na dhaifu sana.

Sina ladha ya chakula na wala sitaki kula, nataka muda wote niwe nimelala hadi mbavu zinauma, sihisi harufu yoyote lakini pia nimeanza kuhara mara moja moja na kukohoa kifua kinawasha washa.

Naomba kufahamu hapa Dar ni wapi naweza kwenda kupima covid. Ingawa nimeanza kuona improvement lakini natamani nipime niwe na uhakika.

Ahsante.
unaukimwi
 
Mimi nakuambia kamanda, kabla ya kutumia chochote nenda kapime kwanzaaa ujue afya yako.....achana na kujifukiza huu sio wakati wa magufuli wa kudanganyika na kusababisha mamia ya watu kupoteza life..... baada ya majibu, msikilize dokta ushauri atakaokupatia.
 
Kwa hali niliyonayo nahisi hii ni covid 19 3rd wave Delta.

Kwa muda wa wiki nzima hii inayoisha kesho nimekua naumwa ugonjwa usiojulikana. Nimeenda hospitali zaidi ya 2 bado sionyeshi ugonjwa wowote.

Kuanzia jumamosi iliyopita nilikua naumwa kichwa kisicho cha kawaida, nikapewa dawa za kutuliza maumivu lakini wapi, jumatano nikaenda hospitali nyingine nikabadilishiwa dawa kichwa kimeacha kuuma ila mwili hauna nguvu, nimekua mnyonge na dhaifu sana.

Sina ladha ya chakula na wala sitaki kula, nataka muda wote niwe nimelala hadi mbavu zinauma, sihisi harufu yoyote lakini pia nimeanza kuhara mara moja moja na kukohoa kifua kinawasha washa.

Naomba kufahamu hapa Dar ni wapi naweza kwenda kupima covid. Ingawa nimeanza kuona improvement lakini natamani nipime niwe na uhakika.

Ahsante.
Jaribu kipimo cha covid-19 cha kuingiza kwenye haja kubwa nacho kikigoma basi umelogwa
 
Wale wabishi wabishi wafuasi wa magufuli wazee wa "R.I.P NA MISS YOU BABA"njooni hapa msome comment ya Chaliifransisco....acheni ubishi wa kijinga

Kamanda watu wanachomoka aise...huku nilipo hospitali zina wagonjwa wengi mno n others wanapoteza maisha...hali ni mbaya ndugu zanguni....

Vichwa ngumu sidhani kama watanielewa
Unajua hii issue unless imfike mtu personally labda kafa yeye au mwanae au ndugu yake wengi hawataamini. Tutakufa kama kuku wa kideri.
 
Back
Top Bottom