Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,485
- 2,391
Hiyo corona kabisa. Kapime tu kwa huhakika zaidi
Usiache kufukiza walau mara mbili kwa wiki.Kwa hali niliyonayo nahisi hii ni covid 19 3rd wave Delta.
Kwa muda wa wiki nzima hii inayoisha kesho nimekua naumwa ugonjwa usiojulikana. Nimeenda hospitali zaidi ya 2 bado sionyeshi ugonjwa wowote.
Kuanzia jumamosi iliyopita nilikua naumwa kichwa kisicho cha kawaida, nikapewa dawa za kutuliza maumivu lakini wapi, jumatano nikaenda hospitali nyingine nikabadilishiwa dawa kichwa kimeacha kuuma ila mwili hauna nguvu, nimekua mnyonge na dhaifu sana.
Sina ladha ya chakula na wala sitaki kula, nataka muda wote niwe nimelala hadi mbavu zinauma, sihisi harufu yoyote lakini pia nimeanza kuhara mara moja moja na kukohoa kifua kinawasha washa.
Naomba kufahamu hapa Dar ni wapi naweza kwenda kupima covid. Ingawa nimeanza kuona improvement lakini natamani nipime niwe na uhakika.
Ahsante.
Ukiumwa wewe inatosha hiyo Corona inatosha.
Korona ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine msituletee mayowe yasio na maana
Unajua hii issue unless imfike mtu personally labda kafa yeye au mwanae au ndugu yake wengi hawataamini. Tutakufa kama kuku wa kideri.
Inakuuwa wewe mjinga mjingaKorona ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine 🤣 ugonjwa gani huo? Jifanye mjanja, tena inapenda watu wabishi wabishi kama
Pole sana,Pamoja na ushauri toka kwa wadau hapo juu... Muombe Mungu akuvushe salama katika kipindi hiki kigumu,Ugua pole ndugu!!Kwa hali niliyonayo nahisi hii ni covid 19 3rd wave Delta.
Kwa muda wa wiki nzima hii inayoisha kesho nimekua naumwa ugonjwa usiojulikana. Nimeenda hospitali zaidi ya 2 bado sionyeshi ugonjwa wowote.
Kuanzia jumamosi iliyopita nilikua naumwa kichwa kisicho cha kawaida, nikapewa dawa za kutuliza maumivu lakini wapi, jumatano nikaenda hospitali nyingine nikabadilishiwa dawa kichwa kimeacha kuuma ila mwili hauna nguvu, nimekua mnyonge na dhaifu sana.
Sina ladha ya chakula na wala sitaki kula, nataka muda wote niwe nimelala hadi mbavu zinauma, sihisi harufu yoyote lakini pia nimeanza kuhara mara moja moja na kukohoa kifua kinawasha washa.
Naomba kufahamu hapa Dar ni wapi naweza kwenda kupima covid. Ingawa nimeanza kuona improvement lakini natamani nipime niwe na uhakika.
Ahsante.
Kupima corona ni gharama. Hapa kwenye video tunaweza pata kitu cha kujifunza katika kupambana na Corona, lakini pata ushauri wa daktari.Mimi nakuambia kamanda, kabla ya kutumia chochote nenda kapime kwanzaaa ujue afya yako.....achana na kujifukiza huu sio wakati wa magufuli wa kudanganyika na kusababisha mamia ya watu kupoteza life..... baada ya majibu, msikilize dokta ushauri atakaokupatia.
Kama rais anakusanya watu ili awaambie wasikusanyike unategemea nini?Na kibaya zaidi takwimu hazitolewi..ndio maana hawaamini hii kitu....
Kama rais anakusanya watu ili awaambie wasikusanyike unategemea nini?
Makala jana kakusanya umati mbezi. Hawa wanasiasa ndio wapuuzi sana. Badala wawe mstari wa mbele kutoa elimu kwa raia wao ndio kwanza wanawakusanya.
Andika vizuri hizo dawa jombaaa watu tuzame pharmacyJitahidii upimee na kalee kamdudu ketu.mkuu maana dalilizake zilelezile
Kwa emergency ukisubiria kupima.covid NENDA duka la dawa
Nunua.vitamin inaitwa crotene vit c wambie YENYE ZINK mkuu hii wanaopelekwa wakohoi.wanadungwa dripuzake.anapona huamini
Kingine Kama unakaa. Na familia simaanishi bachela hata Kama ndugu TU wape hizi vitamins 15000 m nawagonga nyumbani kila baada ya miezi 3
Ukikutwa naoo bahatimbaya jitenge KABISA na peleka Ukapime waliobakia mkuu usijepona ukawaadhibu wengineooo
Ondoa mawazo kamaunapata kilaji acha kwa MDA...pata MDA mwingi angalia tv huu.ugonjwa Kinachowaua wengi n mawazo wengine wanawazaa Mali zaurithi na Kama kesi iko mahakamnnkabisaa unaendaa....
Otherwise m km dn hapojuu (k..CHETU)...
Pamoja na ushauri woote wa wadau hapo juu pia usisahau kujifukiza
Watu tumekuwa waoga sana, utadhani hatutakufa, kwani korona ndio imeanza mwaka huu? kama mtu anaogopa korona ahamie porini akaishi na nyumbu.Unatakaje boss? Kisa unaumwa tufunge mtaa
MKUU..KUJIFYKIZA SI WATU WALISEMA NI USHAMBA WA MAGUFURI NA WOTE HUMU TUKAKUBALIANA NI UWONGO NA USHAMBA AU TULISEMA KUMCHUKIA BURE HUKU TUKIAPPRECIATE MAMBO YAKE
Hospital kufanya nini, kunywa dawa, tafuta erythromycin mg 500, vidonge vya vitamin C na AsprinKwa hali niliyonayo nahisi hii ni covid 19 3rd wave Delta.