CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Pole sana rafiki Mungu awe ndiye kimbilio lako uisiangalie nyuma tena kwani Mungu amekuandalia wako ambaye mtaendana, mtapendana na mtachukuliana kwa kila hali haijalishi umepita katika vikwazo hivyo ila mtegemee Mungu kwani yeye hujishughulisha sana na mambo yetu
Ondoa mawazo ya kumfikiria alivyokutenda kwani wengi wetu hapa tumetendwa hivyo hivyo wewe simama imara na mwombe Mungu atakutokea na utapata aliye wako mpaka utasahau machungu yote hayo soma jeremiah 27:32 (32:27) nimesahau kidogo hivyo vifungu ila ni hivyo hivyo bestito. uwe na siku njema
Cousin... Ngoja nikusaidie, nahisi ulimaanisha hiki kifungu.
Yeremia 32:27
Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiloliweza?