Tulia yupo atakaejitokeza na atakupenda ngoja nikueleze kitu dada yangu pia ilimtokea hali kama yako,na dada yangu alijiweza sana kifedha,mwanaume alijifanya kupenda sana hata akatoa mahari fikiria pande zote wa ndugu walitambulishwa na dada yangu alijitoa sana ,yaliyomkuta vicky kamata si mchezo wengi mmejua,habari yake ilifanana na vick kamata,alilia sana na hata alikunywa sumu mara 3 nakuokolewa,alijitupa ziwani aliwe na mamba lkn wavuvi walimuokoa, alikuwa kichaa na ameishi mirembe miezi 8 mungu kamponya,alipata maumivu makali lkn aliyavumila japo hayavumiliki,leo hii navokwambia alikuja kupata mwanaume hapahapa dar es salaam na ni handsome balaa anaupendo wa kufa mtu,ana pesa mbaya,utasema nn dada yangu anaitwa malikia,kwa sasa wanaishi uk na mumewe,haya sasa yako wapi ??yule mwanaume msaliti amepatwa na majaribu haamini yaliyomkuta leo hii anapiga debe posta pale ukienda unamkuta kawa kama teja akionana na sisi analia tu,anajuta yule anahitaji msaada wajameni ,ww dada usiumie mungu yupo na anaishi utashinda vaa silaha ya maombi omba mungu utashinda