tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,990
- 25,383
hofu yako ndio kifo chako bwana mdogo!
inaonekana hata ukimkuta amesimama na kidume yeyote, utaamini moja kwa moja kuwa ndio mchawi wako!
chunguza pole pole, kuwa CID si mchezo!
mkuu, kuna mtu anakuchakachulia. take action immediately. hizo ni dalili za wazi zinazodhihirisha kwamba kuna uchakachuzi unaendelea mahali. tafakari, chukua hatua!