nahisi naibiwa

nahisi naibiwa

Hapo kwenye kuingia ndipo imapokosea!! Unakuta marafiki au hata wadogo zako wakikiomba ela unasema huna alafu unaenda mpa mtu mmekutana hata mwaka haujaisha!!! Ona sasa anakutia mastress yasiyo na kichwa wala miguu!!
ilo nalo neno,,,na kwenda inabd niharibu ratiba nyngne za muhimu@,lakin nadhan nta-edit kidgo ushauri wa HMS thn ntafanya hvyo nisiwe ----- na mm
 
Bana baba Yangu waziri wa kitu kinaitwa hela lazima na Mimi niwe
Maji yanafuata mkondo .au Huruma tu
 
Binadamu hachungwi kama ng'ombe ukishaona dalili hizo ujue keshapata mjuzi mwingine ukizingatia kuwa mko mikoa tofauti hivyo kila mtu kujiona huru kufanya jambo lolote bila woga.kwa bahati mbaya zaidi ni wapenzi tu
 
kila la kheri mkuu
nenda ukazijue mbivu na mbichi

unaweza kwenda pewa malavidavi ya nguvu.. hata feedback ushindwe kuleta. teheee
 
tehe tehe i use to be tht way too before ths gal bt i promicd myself kua serius nae and means no cheating,,,mpaka apa maana yake ni kua the way i use to thnk abt her changed and now uchakachuaj unaweza kuanza wakat wowote few days to come,,,,nahc wkt wang wa kutulia bado as i am only 25,,,ngja ncheze ngonjera za ujana mpk kieleweke

Safi sana mkuu, hapo ugonjwa wa moyo na kutopata usingizi utasikia kwa jirana ama huku kwa jamaa kama huyu, on my side i dont mean to have so many girls, i mean to have so many adventijias ishuz, when you dont have anythng to do, you call her, if busy, unreachable, dady is @ home, lets do it 2moro, no connection, check the number and dial it again, we have a discussion and all other stuff like those, you switch to another extension(s) until you get one. You will be singing + dancing everyday jas like me.
 
nimekua na mahusiano na mpenz wangu kwa muda sasa (takribani miez 5 sasa),,mwanzon tumekua tukiwasiliana kwa karibu sana na kunifanya nijiskie amani na kusahau kuhus wasichana wengne,,,,kifup amenifanya niwe mwaminifu sana,,
cha ajabu ni ck za apa karbun ambapo gafla amepunguza mawasiliano kwa madai shule imebana,,,namtumia txt anachelewa kujib,,,sitak kuamin kua mpenz wangu huyu anani-cheat ila naamin kwel mambo yamebana,,
nilichopanga kukifanya ni kwenda kumsalimia kwa suprise,,kwamba simwambii kua naenda mkoa aliko ila atashtukia kuniona thn ntapata nafas ya kuikagua cm yake for good il nijue moja maana ata raha nae tena sina mekua mpweke mnoo,,
wana mmu plz naombeni mnishauri,,,niko sawa kwa uamuzi wangu huo!!

Yan huyo mwanamke anakusaliti asilimia mia mbili, kwanza kubali huo ukweli hlf pili usiende kwa surprise utaumia bure
 
nimekua na mahusiano na mpenz wangu kwa muda sasa (takribani miez 5 sasa),,mwanzon tumekua tukiwasiliana kwa karibu sana na kunifanya nijiskie amani na kusahau kuhus wasichana wengne,,,,kifup amenifanya niwe mwaminifu sana,,
cha ajabu ni ck za apa karbun ambapo gafla amepunguza mawasiliano kwa madai shule imebana,,,namtumia txt anachelewa kujib,,,sitak kuamin kua mpenz wangu huyu anani-cheat ila naamin kwel mambo yamebana,,
nilichopanga kukifanya ni kwenda kumsalimia kwa suprise,,kwamba simwambii kua naenda mkoa aliko ila atashtukia kuniona thn ntapata nafas ya kuikagua cm yake for good il nijue moja maana ata raha nae tena sina mekua mpweke mnoo,,
wana mmu plz naombeni mnishauri,,,niko sawa kwa uamuzi wangu huo!!

long distance huwa olways haiwork
 
dawa yao ni bastora tu.
 
not all the time,,,so;etims it works

huwa olwayz haiwork trust me, lazma kuna m1 atacheat sema tu huwez kugundua, possibility ya kutosalitiana ni 1%, yan ni 99% kuna m1 atafany usaliti, love is about presence, hata kama umependwa sana unaweza ukakuta unasalitiwa mkiwa kwny long distance, kama upo kwny long distance just be ready 4 anythng at anytime
 
Back
Top Bottom