mkuu Karucee, unajua kuna mikoa kabisa ukiachia dem wako kuwepo, kama si mwenye msimamo, basi kubali tu matokeo!
kuna majiji yenye starehe nyingi sana kama dar, mwanza, tanga ama mbeya.. huku vishawishi ni vingi sana kwa mtoto wa kike!
kwa hiyo ni kuwa alerted kwa lolote!
tht apply as inapoishia ndipo other way around ya serius relationshp inapoanzia tht no cheat,,,,either we hav to agree as no seriusness ndipo hapoo akigegedwa pengne it wl b ok ila when u are serius inauma sanaaawell yet again human stupidity knows no boundaries...DEMU WAKO UKIWA NAE KITANDANI UNAMGEGEDA AKISHASEPA NI WAKILA MTU KAKA
wote tuko kwenye majij kaka
You wouldnt catch me by scrolling through my phone. But then it is not me so good luck my friend.unless u gat better option,,,to me i end up there'
I know. Na ndio maana nilitaka akutajie huenda ukampa point. But yeye sijui anaona utaenda kumuibia? Beats me!!
hahahaa,,angalau ww umenchekesha,,,Unataka atumie njia gani ili upate kubaini kuwa haupo tena moyoni mwake? Hataki kukupa maumivu makali ya nafsi ndio maana katumia njia hiyo. Kuna mwenzako kaishapendwa huko bado tu hujajua? unataka kwenda kuchunguza simu yake ili upate sababu ya kum-ufoosaro. Unajipa tabu yanini wakati hupendwi? Aaaarrrrgghh unanikera!
tht apply as inapoishia ndipo other way around ya serius relationshp inapoanzia tht no cheat,,,,either we hav to agree as no seriusness ndipo hapoo akigegedwa pengne it wl b ok ila when u are serius inauma sanaaa
Tuacheni tupumueeee
i have been plain smart kweny mahusiano haya so many times bt i promic to b serius wth ths current one,,,,may b i am paying the price,,, bt to me this gal wont sirvive in my heart after nikigundua anythng mins cheating,,,,i wil considre myself to have more time ya kula ujana ayo ya seriusness tutayajua mbelen ukoWanawake wote hawa unaumiza kichwa na mtu asiyekujali...acha uboya ww au ndio demu wa kwanza?
Kafumanie tu mwaya ujue moja...
she sound strongly in love wth me,,,wat suprises me is ths bizy days she stats,,,,kwa maelezo yake she wants me more than i can emergin ndio maana nimeona ku-clear doubt nijitie hasara ya minaul iyo lkn i promice tutagegedana kwanza ndo nkague cm,,,maana naweza kuishiwa mood af tulale hotel bureee,,Kuna watu wanajitafutia magonjwa ya moyo. Pima hisa zako kama unaweza kuendelea kuwa naye
usijali mkuu ntaleta mrejesho wa yaliyojirimagombe junior ninawasiwasi unaweza kumfumania! tekeleza mpango wako. urudi kutupa majibu.