nahisi naibiwa

nahisi naibiwa

Pole sana. hiyo ni moja ya dalili ambayo unaibiwa kweli, lakini inaweza ikawa sio kweli kwa asilimia ndogo lkn inawezekana. hakuna faida ya kwenda huko na kumshtukiza maana unajipotezea muda wako tu, sasa ukimshtukiza hlf ukakuta anakusaliti utafanyaje? utasema utamuacha lkn kiukweli utajiumiza sn, cha msingi nachokushauri, ww tuliza nafsi yako, hlf usimpe mchunie, usimpigie wala usimtumie msg we muache tu, hlf uone reaction yke, km atakua ni mtu wa kukutafuta bac mjibu lkn kimkato, km anakupenda kwl hawezi choka kukutafuta km wewe unavomtafuta lkn km ana mtu mwngne utaona ndo anachukulia advantage ya kuwa mbali na ww zaidi. lenga mwanamke mwingine na uanzishe urafiki, hii itakupunguzia upweke, sio uanzishe mahusiano hapana js urafiki, hlf ukiona mambo yanakua mazuri tupia nyavu na achana na huyo wa mwanzo.
mshahara ukitoka una air time ya buku 5,,,,well said,,,bravooooo!!!!
 
  • Thanks
Reactions: HMS
binafsi hua siamin katika kukaguana cm,,,cjawah kufanya icho kitendo kwa ma x zangu ote ila kwa uyu nahitaji kuondoa doubt coz nimeplan kumuoa na tayar naingia garama nying kwa ajil yake,,

kka kuwa makini na apo nlilopigia hizo gharama anaglia sana usije kulia tushaona mifano mingi ya watu walioingia izo garama afu hawakupata kitu
 
Pole sana. hiyo ni moja ya dalili ambayo unaibiwa kweli, lakini inaweza ikawa sio kweli kwa asilimia ndogo lkn inawezekana. hakuna faida ya kwenda huko na kumshtukiza maana unajipotezea muda wako tu, sasa ukimshtukiza hlf ukakuta anakusaliti utafanyaje? utasema utamuacha lkn kiukweli utajiumiza sn, cha msingi nachokushauri, ww tuliza nafsi yako, hlf usimpe mchunie, usimpigie wala usimtumie msg we muache tu, hlf uone reaction yke, km atakua ni mtu wa kukutafuta bac mjibu lkn kimkato, km anakupenda kwl hawezi choka kukutafuta km wewe unavomtafuta lkn km ana mtu mwngne utaona ndo anachukulia advantage ya kuwa mbali na ww zaidi. lenga mwanamke mwingine na uanzishe urafiki, hii itakupunguzia upweke, sio uanzishe mahusiano hapana js urafiki, hlf ukiona mambo yanakua mazuri tupia nyavu na achana na huyo wa mwanzo.
mshahara ukitoka una air time buk 5,,,
tht z bravoo!!!!!!!
 
lol, asante. ucijali, we hiyo buku 5 ukiipata basi itolee sadaka kwa nia ya kumuomba Mungu akunyooshe mambo yako.
umezid kutisha!!,,,
thnx 4 advice aisee,,nimeupenda ushauri wako
 
  • Thanks
Reactions: HMS
nimekua na mahusiano na mpenz wangu kwa muda sasa (takribani miez 5 sasa),,mwanzon tumekua tukiwasiliana kwa karibu sana na kunifanya nijiskie amani na kusahau kuhus wasichana wengne,,,,kifup amenifanya niwe mwaminifu sana,,
cha ajabu ni ck za apa karbun ambapo gafla amepunguza mawasiliano kwa madai shule imebana,,,namtumia txt anachelewa kujib,,,sitak kuamin kua mpenz wangu huyu anani-cheat ila naamin kwel mambo yamebana,,
nilichopanga kukifanya ni kwenda kumsalimia kwa suprise,,kwamba simwambii kua naenda mkoa aliko ila atashtukia kuniona thn ntapata nafas ya kuikagua cm yake for good il nijue moja maana ata raha nae tena sina mekua mpweke mnoo,,
wana mmu plz naombeni mnishauri,,,niko sawa kwa uamuzi wangu huo!!
Duniani, epuka sana kuyafanyia uchunguzi mambo ambayo huwezi kuyatolea uamuzi... Usije ukakutana na jambo hilo halafu uishie kumuachia Mungu kwa kuwa kumuacha huwezi... Kama unaona kuishi bila yeye huwezi yafanyie kazi mazuri yake tu.
 
unakuwa kichwa kigumu kama mm tu...akiwa bize na wewe unakuwa bize mara 2...
 
binafsi hua siamin katika kukaguana cm,,,cjawah kufanya icho kitendo kwa ma x zangu ote ila kwa uyu nahitaji kuondoa doubt coz nimeplan kumuoa na tayar naingia garama nying kwa ajil yake,,

Ufoo Saro Style.....tunasubiri tukio soon
 
Kuna Mwanamziki Zamani sana 2000's aliimba wimbo kama huo Nahisi Naibiwa Nachanganyikiwa anaitwa kama Remela Mila sijui yuko wapi yule dada?
 
Vipi jina lake linaanzia na L au H? Maana kuna mmaoja namgegeda na kaniambia anatafuta namna ya kumwacha jamaa yake,isije kuwa ni wewe.
 
nimekua na mahusiano na mpenz wangu kwa muda sasa (takribani miez 5 sasa),,mwanzon tumekua tukiwasiliana kwa karibu sana na kunifanya nijiskie amani na kusahau kuhus wasichana wengne,,,,kifup amenifanya niwe mwaminifu sana,,
cha ajabu ni ck za apa karbun ambapo gafla amepunguza mawasiliano kwa madai shule imebana,,,namtumia txt anachelewa kujib,,,sitak kuamin kua mpenz wangu huyu anani-cheat ila naamin kwel mambo yamebana,,
nilichopanga kukifanya ni kwenda kumsalimia kwa suprise,,kwamba simwambii kua naenda mkoa aliko ila atashtukia kuniona thn ntapata nafas ya kuikagua cm yake for good il nijue moja maana ata raha nae tena sina mekua mpweke mnoo,,
wana mmu plz naombeni mnishauri,,,niko sawa kwa uamuzi wangu huo!!

Kama anakaa hostel za chuo usiende utaitiwa mwizi na uuliwe hizo suprise zenu za kizungu zitakutokea puani.
 
Vipi jina lake linaanzia na L au H? Maana kuna mmaoja namgegeda na kaniambia anatafuta namna ya kumwacha jamaa yake,isije kuwa ni wewe.
tehe tehe,,non of the above!
 
Kama anakaa hostel za chuo usiende utaitiwa mwizi na uuliwe hizo suprise zenu za kizungu zitakutokea puani.
tehe tehe teheee,,,
chuo alichosoma nami memalizia apo , kwa pale m ni ''the don'' wengi wao wananfaham so haiwez kuleta shida,,sana sana tu ntahakikisha weng hawanion maana hua wananfata nyuma(natembeaga na asali ya warembo )hahaha,,!!!!!
 
binafsi hua siamin katika kukaguana cm,,,cjawah kufanya icho kitendo kwa ma x zangu ote ila kwa uyu nahitaji kuondoa doubt coz nimeplan kumuoa na tayar naingia garama nying kwa ajil yake,,

Hapo kwenye kuingia ndipo imapokosea!! Unakuta marafiki au hata wadogo zako wakikiomba ela unasema huna alafu unaenda mpa mtu mmekutana hata mwaka haujaisha!!! Ona sasa anakutia mastress yasiyo na kichwa wala miguu!!
 
Back
Top Bottom