segere
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 539
- 262
.ha ha ha ha ha!!!!! me huwa nikiona mwanaume analalama huwa nacheka hadi wakati mwingine nakaa chini, hawa watoto wa chuo utawaweza tu mfukoni ukiwa unaingiza PESA ya kutosha kwa wiki/mwezi..(mwenzio yaliwahi nikuta na hawa uanowataja tena nachokumbuka naliambiwa segere kasome Kumbukumbu la Torati litakusaidia kupunguza maumivu)..sasa niko sekta ya kutengeneza PESA nimegundua huku ndo fani yangu nawe karibu idara hii mkuu..lakini kwa huyo mwanachuo huna haja hata ya kwenda ushapingwa chenga na kina Messi wa Jiji omba Mungu asikutane na huyu jamaa anajiita Mr. President humu MMU utajapata mshituko wa moyo bure...