nahisi naibiwa

nahisi naibiwa

not all the time,,,so;etims it works

kama huyo mpenzi ni dhahiri kwamba anakusaliti, sema tu hutaki kuamini na ni kawaida mtu kutotaka kuamini kwasababu "love is blind", if you are deep in love, huwa ni ngum sana kuamin kwmb mpenz wako anakusaliti, kwasabab ushamwamin vya kutosha, so evrytim anapofanya kitu ambacho hatakiwi kufanya unakuwa unajipa moyo kwmb kutakuw kunasabab tu imefanya hajapokea sim au hajajibu text au huw hanitafut sana, ila kumbe kiukweli kuna mtu mwngne anaemweka busy, "No one is ever busy, its all about priority"
 
huwa olwayz haiwork trust me, lazma kuna m1 atacheat sema tu huwez kugundua, possibility ya kutosalitiana ni 1%, yan ni 99% kuna m1 atafany usaliti, love is about presence, hata kama umependwa sana unaweza ukakuta unasalitiwa mkiwa kwny long distance, kama upo kwny long distance just be ready 4 anythng at anytime
ok ntazingatia za kuambiwa ntajiongeza na zangu
 
Jiandae na maumivu makubwa sana,ki ukweli ukiifumania hiyo simu yake kabla hajadelete msg,lazima uzibambe message za mapenzi za jamaa zake either anaotoka nao huko chuoni au wanaomuapproch
 
usijali mkuu ntaleta mrejesho wa yaliyojiri

naona ndugu yetu katamba weee hapa mara nitaleta mrejesho wapi wewe watu washakuzidi kete sasa hivi unaugulia maumivu tu ya kuporwa demu wako na wajanja waliompa raha duniani huku ukijutia kutokusikiliza michango ya ndugu zako wa jf
 
Back
Top Bottom