Mr Eggo
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,028
- 1,051
- Thread starter
- #81
sidhan kama naweza kufikia hatua ya kuleta fujo coz najitambua!,,,,Kuna jamaa alikuja hapa na uzi alienda kumsuprise demu wake wa chuo hivi matokeo yake demu akamkana akaambulia kichapo kwa kuwavurugia watu starehe zao naona huyu ndg ndo anakitafuta,ukweli unajieleza wenyewe unagongewa afu hamkomi/kujifunza tu kwa wenzenu maana haipiti mwezi mtu moja au wawili lazima waje jukwaani kulialia juu ya mademu wa vyuo.Fimbo ya mbali haiui nyoka.
sijazama kichwa na miguu kias cha kua boya najielewa ila nnachokitaka ni kujua ukwel il niwe sahh,,,nakuhakikishia kama ntamkuta amezingua ntahakikisha nabak ck 2-3 za kua na kabint cha apo chuo kujituliza mawazo