Nahisi naibiwa-mrejesho

duh..hiyo itauma
lakini,kuna mtu anaweza uliza hilo swali hata kama hamjafika that far

Sasa kama hamjafika that far ataanzaje.kukuuliza umevaa chupi gani na ww unamjibu?au unamtumia na picha kabisa?
 
yani wewe demu kakuona zoba zoba hapo ni mmoja kuna wengine pia... ila kkwa kuwa unaroho ya huruma hongera na pole kwa uchovu wa safari...

mkuu siku nyingine andika basi maneno yvizuri kuliko kutumia vifupi jamani loh!!1

Mademu wote malaya kasoro mama yangu na bibi zangu tu
 
siamini kama alifanya ama hakufanya hivo
ila ninachosema hapa..mtu akikosea na akahitaji second chance apatiwe..awekwe kwenye matazamio..watu hubadilika

I dont beliv on second chances si kitu ya kuitegemea sana, jamaa kadeal na issue yake kwa namna alivyooona inafaa kusema kapatia au kakosea ni kutaka kumfanyia maaamuzi, hata kesi ikiwa moja na shaidi zinazofana ukiwapatia ma judge watatu waitolee hukumu nina wasiwasi kama hukumu zinaweza kufanana,
 
USIWEKE MTEGO WA KUMFUMANIA MKEO KAMA HUNA UWEZO WA KUMUACHA tchaoooooooooo kwa stori hiyo mimi wewe ndo nakuona unaonewa samahani lakini
ahaaaaaa nimeipenda hiyo,,imenikuta mwenyewe,,,ila nimejikaza kuacha maana list niliyoikuta ni balaaaaaaaaa
 
:flypig::flypig::flypig::flypig::israel::israel::israel::israel: Hizi kitu ni noma zinaumiza sana.....
 

Tatizo gani mkuu, la kuacha chat message kwenye simu au? Kwa hiyo akichat na lecturer wake kisha akafuta message wala hilo sio tatizo kwako????????????? Kwa mtindo huu bado haujatatua tatizo na nadhani ulichokifanya ni kumwambia azidi kuwa mwangalifu anapokuwa na mahusiano ya nje ama zaidi ya kwako.

Ikiwa alishawahi kukudanganya, na akaendelea, usitegemee kuwa atamwacha kwa sasa, zaidi sana ataongeza umakini wa kukudanganya.

Piga chini na usonge mbele.
 
we kijana una mapenzi hadi shetani anayaogopa
 
Huo mrejesho wako ni wa kipuuzi kabisa yaani mwanaume mzima unadanganywa kama mtoto. Kwa kifupi wewe ni mdaifu kwake so utaendelea kumegewa na huyo lecturer. Acha uzoba mi nitakutukana ujue
 
Mkuu wote wapo hvohvo kwahyo we endlea nae tu..
 

asipokula demu anafail
 
mkuu unajua amana kitu kibaya kama kujidanganya katika maisha ... alafu baada ya miaka miwili ukagundua umedanganywa alafu ukajikuta katik kila useme unaoanza unaanza na "ninge" wakati huo umechelewa sana .... any way mapenzi ni upofu na kizunguzungu aya jizungurihe weweweeeeeeeeeeeeeeee mpaka udondoke uzimie all the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…