Nahisi nafsi inanisukuma kufanya jambo.

Nahisi nafsi inanisukuma kufanya jambo.

mh! hiyo ni hatari ngoja nikae pembeni ... maana hawachelewe kukutaja ndio umeyatuma

Uzuri wa maombi bwana, hata ukisoma tu kuwa unatakiwa kuombewa, mapepo yanalipuka. Nikianza kuomba manoah, elewa mtu ataingia kikaangoni, yeye na mapepo yake
 
Nimeota bomba la gesi ya ntarwa sorry ntwara litatoke huko kupitia lindii na ninihii wapi kweli? Bagamoyo kisha litakata kona kwenda marekani ambako yatakutana na yale mabomba iraq na la kule kwa gadaf, eti mabomba yanaulizana kama yagome kusafirisha mpaka wana ntwara wanufaike kwanza.
 
Back
Top Bottom