Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,676
Huku Dasalama ma Bugando ni mengi sana, lipo lile li Bugando la PPF Tower, kuna li Bugando lingine pale J MALL, kuna lile lingine la Beanjamin Mkapa Tower, yaani usijali kabisa kuhusu Mabugando hapa jijini.Bujibuji umewahi kufika bugando ? kuna mtu mmoja anaitwa bwana madokomenti huyo mtu huwa huwa anawatibsha wale wote waloshindikana kwa vidonge yeye anatumia MziziMkavu tu
(isome kwa lafudhi ya Kisukuma)