Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
basi nimeacha kukuparamia
hapo tutaenda sambamba... Nikianza kunena kwa lugha unikaribie zero distance ili mapepo yako yasikie... Sawa!?
basi nimeacha kukuparamia
ooohhh jamani mie hakika nitapona sasa sema nijongee taratibu uanze kazi yako ila sitaki kumwagiwa maji ya ubatizo
haya sawa unitoe mapepo yoote ila uachie moja tu lile li-jini mahabba hilo bado nina shida nalo.
.....Nauliza tu hivi, msimu wa ndoto ushafika?
sio vizuri kumfukuza.
.....Nauliza tu hivi, msimu wa ndoto ushafika?
pwanti tupu mkuu,au niwe nalala macho, jicho moja lisinzie nusu ya usiku afu jengine limalizie