Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
Nawaita wazee woote wa CHIT CHAT mnao jua mambo ya Astrodienst Horoscope na Astrology
ili mniambie kwanini nafsi yangu inatamani kufanya jambo nisilo lijua?
kuanzia juzi naota ndoto sio mabaya wala sio nzuri,sio tam pia sio chungu nindefu lakini ina mwisho inafurahisha pia inahuzunisha ni ndoto ambayo inanitokea si mchana ama usiku
naogopa kuchukua maamuzi yoyote maana sijajua kama ninatatizo ama sina
Bishanga na MziziMkavu najua mtakuwa na neno la kuniambia ila pia kuna doctors kama Lady doctor na wengine wa kule jf doctor mnaweza kunitabiria haya mambo sina uhakika kama Baba V na manoah wamefikia level ya kutabiri ila kama wamefikia nao wahusike
dada zangu woote King'asti Arabela na wengine nawaomba nanyi mtazame mizimu ya akina babu na akina bibi wa kushoto na kuume kama kuana tatizo basi mtanijuza ilia tuone kama tuna tambikia ama la!!

Last edited by a moderator: