Afya like pharmacy maabara nurseEti chuo cha Tandabui kinatoa kozi gani wadau?
K1mchukulie samasi naona waliokutuma hawakukueleza vizurindio ubinafsi wenyewe huo,, kwa nini asiweke usawa?
Kunajambo umetumwa siyo bureMungu hayupo..fikiria namna nyingine ya kufanya mambo yako
Kwa point hii nimeshakujua wwe ni mfuasi wa imani ganiHapana ,, wapo wanaokesha nyumba, za ibada lakini hawafanikiwi lakini wengine wasioabudu wanafanikiwa
ndicho unachokiwaza hicho?
Hebu toa hivyo vipengele vya Quran acha longolongotoa hoja, nasubiri
Nini maana ya kufanikiwa. Uzima wa mtu haupo katika wingi wa vitu au Mali. Asikudanganye mtu yoyote, maisha bila Yesu ni bure. Haijalishi mtu ana Mali nyingi kiasi. Kuna faida mtu, kuupata ulimwengu wote na kuishia jehanamu ya milele kwenye moto? Baraka za Mungu siku zote hazina majuto. Ukimtegemea Mungu atakupa baraka ambazo fedha haiwezi kununua. Afya njema ni baraka ya Mungu, furaha ni baraka za Mungu nk. Yoyote anayemtegemea Mungu, hawezi kupungukia na kitu. Kumbuka kuna needs na wants. Siku zote Mungu atahakikisha ukimtegemea unapata the needs. Halafu ukizidi, kumtegemea, atakupandisha kidogo kidogo. Kumbuka utajari na baraka zidumuzo hutoka kW Mungu tu.Hapana ,, wapo wanaokesha nyumba, za ibada lakini hawafanikiwi lakini wengine wasioabudu wanafanikiwa
Ulikofika siyo kuzuriNahisi Mungu ni mbinafsi kwa sababu zifuatazo
1)humpa amtakaye, Mungu kupitia vitabu vya dini amekuwa akisema mara kwa mara kwamba yeye humpa neema na humfanikishia mahitaji mja amtakaye, hapa moja kwa moja ana dhihirisha sifa ya ubinafsi kwa maana kama hakupendi hata umuombe namna gani hutofanikiwa abadani asilani.
2)humuongoa au humuepusha na maasi mtu amtakaye , hapa pia ana dhihirisha ubinafsi wake, kwa kuwa kama mja fulani anatenda dhambi Mungu atafanya juu chini kumuepusha hata kama huyo mtu hakuwa mtu wa ibada, lakini wakati huo huo wengine wakitenda maovu anawaacha wateketee na hawapi msaada wowote, hapa inaonesha kwa kiasi gani ana ubinafsi.
3)kuna mwengine hata afanye mema kiasi gani, malipo atakayopewa ni madogo sana, lakini mwingine akifanya mema kidogo ana shushiwa lundo la thawabu.
4)Ana waonea sana wanawake, hataki wawe viongozi, kwenye umiliki wa mali hasa Mirathi anataka wanaume tu ndio wapewe vipaumbele vya kumiliki.
5)kuna wengine tangu anazaliwa mpaka anafariki hajawahi kuonja raha yoyote ya dunia na wala hajui dunia ikoje, kwa sababu utakuta amezaliwa kipofu na maradhi tele mwilini na hajawahi kupata nafuu kuanzia ana zaliwa mpaka anafariki.
Nini maana ya kufanikiwa. Uzima wa mtu haupo katika wingi wa vitu au Mali. Asikudanganye mtu yoyote, maisha bila Yesu ni bure. Haijalishi mtu ana Mali nyingi kiasi. Kuna faida mtu, kuupata ulimwengu wote na kuishia jehanamu ya milele kwenye moto? Baraka za Mungu siku zote hazina majuto. Ukimtegemea Mungu atakupa baraka ambazo fedha haiwezi kununua. Afya njema ni baraka ya Mungu, furaha ni baraka za Mungu nk. Yoyote anayemtegemea Mungu, hawezi kupungukia na kitu. Kumbuka kuna needs na wants. Siku zote Mungu atahakikisha ukimtegemea unapata the needs. Halafu ukizidi, kumtegemea, atakupandisha kidogo kidogo. Kumbuka utajari na baraka zidumuzo hutoka kW Mungu tu.
Of course, kuna watu wamefanikiwa kwa njia zisizo halali, kuua ,kudhulumu etc. Pia mafanikio yanatokana na principles of life, kama working hard. Sasa uwe mpagani au la, usipofuata kanuni hizi huwezi kufanikiwa. Kusali ni muhimu, but bidii pia ni muhimu. Ukiwa na Yesu, ukatia na bidii kufanikiwa ni lazima. Yaani lazima utafanikuwa tu.
La muhimu zaidi, ni kutokufa katika dhambi. Haitasaidia ukifanikiwa kama trump na kuishia jehanamu ya moto
umeona eeh dada demi, hawa jamaa ni wa ajabu sana.Wengi mnaponda blah blah nyingi hamna hoja.
Ngoja nisubiri wenye hoja
so?
Iko hivi, ukweli ni kwamba walio na Yesu wanatumaini. Hata wakipitia changamoto, Yesu Kristo hufanya huwasadia. Changamoto zipo kwa kila mtu, ila walio na Yesu, wanashinda zaidi ya kushindwa. Wakiugua hospital zikishindwa, bado wana msaada wa Mungu alio hai. Hiyo ndio tofauti.Je wote Wanaoamini juu ya yesu au Mungu hakuna asiyekuwa na afya njema au furaha? Wapo wengine hawana imani juu ya Yesu na wanaishi vyema tu. Mfano waislamu na mabaniani hawaamini katika kumuabudu yesu lakini wapo wenye afya njema tu na pia yupo mkristo umwambii kitu kwa yesu lakini bado ana maisha yenye changamoto kibao.
Na swala la pili nikuulize je ulimwengu unaongozwa na miungu mingapi? Kwamfano Kama Mungu wa wakristo ndio sahihi kwanini waislamu, mabudha, wabaniani, n.k. wanapoomba kwa imani zao nao wanajibiwa maombi yao? Kwanini huyo yesu asioneshe uwezo wake kwa kutokuteleza mahitaji ya mtu anayeomba kinyume chake? Fikiria mtu ana amini ng'ombe ndiye Mungu wake na akiomba kwa imani yake kwa ng'ombe anasaidiwa pia.
Sent using Jamii Forums mobile app