Seleina Tikili
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,410
- 2,730
Jamen wadau ogopen sana wake za watu ni sawasawa na kuchezea moto ukidhan hautakuchoma.
Jamaa mmoja hapa kitaa saiv anaokota makopo na kujichekelea.jamaa alidoea vya mnyakusa saiv kashapata doz yake.
Nimemuona nikamhurumia sana ila sifa yake nimeipata.mwamba alikuwa anachovya vya mnyakusa. sio poa mke wa mtu sumu.tutafute vya kwetu tusipende vya bure.