Nahisi mtoto sio wangu

Nahisi mtoto sio wangu

Heshima kwenu wakuu, kiumri ni mkubwa 45+, nimekuwa na shida ya uzazi na shemeji yenu, anabeba ujauzito linajitokeza tu tatizo kidogo tunapoteza mtoto siku ya kujifungua na always huwa anajifungulia hospitali ya mkoa, first born wetuana 17 yrs now, tulimpata tukiw chuo. Second ambae ni wa 5kuzaliwa ana 4yrs.
Kama mwanaume nlitaman sana kuwa na watoto wadiopungua 5, na hii imeniathiri sana kisaikolojia ikapelekea nikawa mtu wa kujitenga sitaki marafiki yasn nikitoka job ni home tena chumbani tu, hata ofisini huwa sina story kabisa na mtu isipokuwa ofice mate wangu ambaye tupo ofisi moja.
Jambo hili lilinipelekea kuwaza kuongezamke ila kukawa na shida ya imani, familia pia, mm ni mkristo.
Akili niliyopata ni kutafuta mwanamke 1 nizae nae tu. So miaka ya, 2018 nikaanza huo mchakato, binti wa 1 nlimpata mdogo tu tukakubaliana ila ssalitoa mimba huko nyuma vibaya akapata infections akawa hadhiko mimba tihangaika sana bila mafanikio ikabidi nimwache aolewe, binti wa 2 nlimpata ila nikagundua malaya tu nikaacha, 2022 nlipata mwingine I knew hajatulia ila nlikubaliana na kila kitu ili mradi anizalie nae tuliachana coz aliniomba nimsomeshe chuo akapata bwana mwaka wa 2 tu.
2023 nikapata binti mwingine, nae nlimkuta yupo kwenye relation japo alinidanganya, nlidumu nae miezi 6 nikaona isiwe tabu kwani nlikuwa km option kwake, baada ya miezi km 3 alirudi akaniambia nna ujauzito wako, nlitaka kulataa but nikafikiria nnataka mtoto, ikabidi turudiane tu, alirudi kwa kasi na serious balaa maana mwanzo nlikuwa kama nafosi kila kitu. Na kudanganywa sana.
Alikuwa analala kwangu hata wiki, baadae nikampangishia na nikaenda kumfata kwao nikapewa kwa ridhaa ya baba na mama yale, nililea ujauzito hadi akajifungua na sasa dogo ana mwaka na miezi 8, tunaishi wote pikapakua, nampenda sana ni binti mzuri wa sura na tabia pia japo bado mdogo sana kwangu, shida sasa alivyojifungua alizidisha miezi2 yaan dogo kazaliwa mimba ya miezi 12 hivi ama 11.5, and wasiwasi wangu ulianzia hapo, mtoto hanifanani popote ispokuwa kidole 1 cha mguu kidogo huwa sina kicha pa1 na komwe,
Nlienda ustawi kuulizia dna process ni rahisi tu ana kwa laki3 kila kitumwake,
Sasa nipo niiapanda endapo nitapima na kujua sio wangu tutaachana hilo ndo naliohopa coz nahitaji watoto 2 toka kwake nafikiria kufunika kombe ili anizalie tu potelea mbali huyu nitamchulua kama wangu. Ama nikapime ili moyo wangu uwe na amani.
Nataman sana adults ndo wachangie uzi huu wewe kama ni chini ya 35 of age haya mambo yaache
Duh, kazi kweli kweli! Mkuu ulivyoanza kuhadithia ulitaka kufanana na mimi lakini ulipofikia kwenye kubadilis wanawake kama nguo hapo nikajiondoa. Hapa mkuu unaumizwa roho tu bila upige kimya usonge mbele na maisha. Kwa vile umeamua kuzaa naye piga mimba ya Pili fasta, wataosema mtoto siyo wako ni wapuuzi wewe lea hicho kiumbe kwa ajili ya watoto wako watakaofuata. Mimi dogo sikumtupa niliamua kumkea hivyo hivyo tu kwa kfumba macho sasa hivi kumaliza chuo na ajira juu! Wala simdai na mimi hanidai, nimefanya hivyo kwa ajili ya wadogo zake, najua hawezi kuwatupa hata iweje!
 
But every weekend nskuaga kwa mke wangu, na week days nskuwa kwa mke mdogo
Ila mkuu katika hili mmekubaliana na mke mkubwa kwamba uwe na mke mdogo? Tukitumia ubabe wa kiume huwa tunawaumiza sana wenza wetu. Mkuu ungeikubali hiyo hali ya kuwa na watoto hao wawili ungekaa maisha ya raha sana. Ukisikiliza pressure za ndugu hutatoboza. Mama mdogo nilimtoa mbio alitaka kuleta ujinga eti ananicheka kuwa na watoto watatu (wawili wa kwangu na mmoja wa wife), analinganisha na watoto wake kwamba wamepata watoto wengi. Nikampeleka darasa eeeeh, hao wajukuu zako lundo wamefanikiwa katika nini? Nikamwambia wa kwako wanazidiwa thamani na hao wa kwangu watatu maana wote wako chuo kikuu na mkubwa wao kamaliza na ana kazi yake! Wa kwake ni wavuta bangi mtaani, hiyo inaitwa SROI. Kwa hiyo kuwa na watoto wachache hujapoteza pambano, ni wewe tu ndiye unajipa pressure!
 
Heshima kwenu wakuu, kiumri ni mkubwa 45+, nimekuwa na shida ya uzazi na shemeji yenu, anabeba ujauzito linajitokeza tu tatizo kidogo tunapoteza mtoto siku ya kujifungua na always huwa anajifungulia hospitali ya mkoa, first born wetuana 17 yrs now, tulimpata tukiw chuo. Second ambae ni wa 5kuzaliwa ana 4yrs.
Kama mwanaume nlitaman sana kuwa na watoto wadiopungua 5, na hii imeniathiri sana kisaikolojia ikapelekea nikawa mtu wa kujitenga sitaki marafiki yasn nikitoka job ni home tena chumbani tu, hata ofisini huwa sina story kabisa na mtu isipokuwa ofice mate wangu ambaye tupo ofisi moja.
Jambo hili lilinipelekea kuwaza kuongezamke ila kukawa na shida ya imani, familia pia, mm ni mkristo.
Akili niliyopata ni kutafuta mwanamke 1 nizae nae tu. So miaka ya, 2018 nikaanza huo mchakato, binti wa 1 nlimpata mdogo tu tukakubaliana ila ssalitoa mimba huko nyuma vibaya akapata infections akawa hadhiko mimba tihangaika sana bila mafanikio ikabidi nimwache aolewe, binti wa 2 nlimpata ila nikagundua malaya tu nikaacha, 2022 nlipata mwingine I knew hajatulia ila nlikubaliana na kila kitu ili mradi anizalie nae tuliachana coz aliniomba nimsomeshe chuo akapata bwana mwaka wa 2 tu.
2023 nikapata binti mwingine, nae nlimkuta yupo kwenye relation japo alinidanganya, nlidumu nae miezi 6 nikaona isiwe tabu kwani nlikuwa km option kwake, baada ya miezi km 3 alirudi akaniambia nna ujauzito wako, nlitaka kulataa but nikafikiria nnataka mtoto, ikabidi turudiane tu, alirudi kwa kasi na serious balaa maana mwanzo nlikuwa kama nafosi kila kitu. Na kudanganywa sana.
Alikuwa analala kwangu hata wiki, baadae nikampangishia na nikaenda kumfata kwao nikapewa kwa ridhaa ya baba na mama yale, nililea ujauzito hadi akajifungua na sasa dogo ana mwaka na miezi 8, tunaishi wote pikapakua, nampenda sana ni binti mzuri wa sura na tabia pia japo bado mdogo sana kwangu, shida sasa alivyojifungua alizidisha miezi2 yaan dogo kazaliwa mimba ya miezi 12 hivi ama 11.5, and wasiwasi wangu ulianzia hapo, mtoto hanifanani popote ispokuwa kidole 1 cha mguu kidogo huwa sina kicha pa1 na komwe,
Nlienda ustawi kuulizia dna process ni rahisi tu ana kwa laki3 kila kitumwake,
Sasa nipo niiapanda endapo nitapima na kujua sio wangu tutaachana hilo ndo naliohopa coz nahitaji watoto 2 toka kwake nafikiria kufunika kombe ili anizalie tu potelea mbali huyu nitamchulua kama wangu. Ama nikapime ili moyo wangu uwe na amani.
Nataman sana adults ndo wachangie uzi huu wewe kama ni chini ya 35 of age haya mambo yaache
Wewe ni mtu mzima sana. Halafu hapa duniani sio kila hitaji la moyo wako lazma litimie kwa asilimia miamoja.

Watoto umepata lakn bado unahangaika kutafuta wengne. Sasa hapo mzee mwenzangu umri wako unaikaribia 50 ndio kwanza unamtoto ana miezi.
Huyo mtoto utamlea kwa pensions???

Na huko kwenye DNA utajisumbua tu. Watakupa majibu ya kukuridhisha wewe. DNA watakupa majibu ya kweli endapo mtoto anagombaniwa na wanaume wawili tofauti.

Hii ya kupima DNA kwa kutaka kujua kama ni wako au sio wako watakupa majibu kuwa huyo ni wako maana endapo wakikwambia sio wako inamaana tayari wewe utamkataa na je mtoto atalelewa na nani?

Acha ujinga tulia na watoto wako uliobahatika kupata lea watoto wako
 
Back
Top Bottom