Nahisi mtoto sio wangu

Nahisi mtoto sio wangu

Kama nimekuelewa mashaka yako ni mimba imechukuwa zaidi ya miezi iliyozoeleka. Ushauri wangu ni kwamba usimpime DNA. Sababu utaishia kuingiza fitna kati yako na mamaake kisha baadae hiyo fitna itamfikia mtoto. Kwamba asipokuwa wako ni fitna na akiwa wako ni fitna pia sbb mama mtu atadumu milele kukulaumu hukumwamini na baadae mtoto ataja fahamu kivingine kuwa hukumtaka. Nakushauri ridhika kwamba dogo ni wako. Kisha pata mdogo wake na hata zaidi. Ushauri mwingine ni kuwa halalisha harakati zako. Bila kuhalalisha matendo yako KIMAADILI utajavuna uadui na wanao wa mrengo wa kiharamu
 
Yaani umeajiriwa na bado unataka kuzaa kama bata??
Mi afrika mtu akiwa na uhakika wa ugali tu anataka kujaza dunia, no wonder tuna majitu mapumbavu sana kwenye hili bara!
 
Heshima kwenu wakuu, kiumri ni mkubwa 45+, nimekuwa na shida ya uzazi na shemeji yenu, anabeba ujauzito linajitokeza tu tatizo kidogo tunapoteza mtoto siku ya kujifungua na always huwa anajifungulia hospitali ya mkoa, first born wetuana 17 yrs now, tulimpata tukiw chuo. Second ambae ni wa 5kuzaliwa ana 4yrs.
Kama mwanaume nlitaman sana kuwa na watoto wadiopungua 5, na hii imeniathiri sana kisaikolojia ikapelekea nikawa mtu wa kujitenga sitaki marafiki yasn nikitoka job ni home tena chumbani tu, hata ofisini huwa sina story kabisa na mtu isipokuwa ofice mate wangu ambaye tupo ofisi moja.
Jambo hili lilinipelekea kuwaza kuongezamke ila kukawa na shida ya imani, familia pia, mm ni mkristo.

Ukimchunguza sana bata utashindwa kumla mkuu
Tulia na hao wake zako, endelea kupiga show nzuri ukamilishe hiyo idadi ya watoto utakao. 45+ uchunguzi wa nini? Maisha mafupi haya, utakufa uache ndoto yako haijatimia, shauri yako!
 
Mwaka 2011 nilipata mtoto wa kiume katika mazingira yanayotaka kufanana na yako, nikaona nimsubiri mtoto afukishe miaka kama Mitano nikapime badaye ila badaye nilajiuliza VIP mtoto nikipima mtoto akawa wangu na akaja kujua kama niliwah kumpima DNA, na asipokuaa wa kwangu nitapeleka wap, kwan kuna shida gan kulea mtoto ambaye sio damu yangu. Dunia hapa tunapita hakuna haha ya kujipa stress, jambo lishatokea lipokee kama lilivyo waza mambo mengine, Huyo ni mwanao achana na mambo ya DNA wala kufanana vidole, achana na kufatilia hayo
Tukubali kutofautiana, watoto wangu wote wamepimwa DNA na wao wanajua hadi majibu. Wapo proud of that
 
Heshima kwenu wakuu, kiumri ni mkubwa 45+, nimekuwa na shida ya uzazi na shemeji yenu, anabeba ujauzito linajitokeza tu tatizo kidogo tunapoteza mtoto siku ya kujifungua na always huwa anajifungulia hospitali ya mkoa, first born wetuana 17 yrs now, tulimpata tukiw chuo. Second ambae ni wa 5kuzaliwa ana 4yrs.
Kama mwanaume nlitaman sana kuwa na watoto wadiopungua 5, na hii imeniathiri sana kisaikolojia ikapelekea nikawa mtu wa kujitenga sitaki marafiki yasn nikitoka job ni home tena chumbani tu, hata ofisini huwa sina story kabisa na mtu isipokuwa ofice mate wangu ambaye tupo ofisi moja.
Jambo hili lilinipelekea kuwaza kuongezamke ila kukawa na shida ya imani, familia pia, mm ni mkristo.
Akili niliyopata ni kutafuta mwanamke 1 nizae nae tu. So miaka ya, 2018 nikaanza huo mchakato, binti wa 1 nlimpata mdogo tu tukakubaliana ila ssalitoa mimba huko nyuma vibaya akapata infections akawa hadhiko mimba tihangaika sana bila mafanikio ikabidi nimwache aolewe, binti wa 2 nlimpata ila nikagundua malaya tu nikaacha, 2022 nlipata mwingine I knew hajatulia ila nlikubaliana na kila kitu ili mradi anizalie nae tuliachana coz aliniomba nimsomeshe chuo akapata bwana mwaka wa 2 tu.
2023 nikapata binti mwingine, nae nlimkuta yupo kwenye relation japo alinidanganya, nlidumu nae miezi 6 nikaona isiwe tabu kwani nlikuwa km option kwake, baada ya miezi km 3 alirudi akaniambia nna ujauzito wako, nlitaka kulataa but nikafikiria nnataka mtoto, ikabidi turudiane tu, alirudi kwa kasi na serious balaa maana mwanzo nlikuwa kama nafosi kila kitu. Na kudanganywa sana.
Alikuwa analala kwangu hata wiki, baadae nikampangishia na nikaenda kumfata kwao nikapewa kwa ridhaa ya baba na mama yale, nililea ujauzito hadi akajifungua na sasa dogo ana mwaka na miezi 8, tunaishi wote pikapakua, nampenda sana ni binti mzuri wa sura na tabia pia japo bado mdogo sana kwangu, shida sasa alivyojifungua alizidisha miezi2 yaan dogo kazaliwa mimba ya miezi 12 hivi ama 11.5, and wasiwasi wangu ulianzia hapo, mtoto hanifanani popote ispokuwa kidole 1 cha mguu kidogo huwa sina kicha pa1 na komwe,
Nlienda ustawi kuulizia dna process ni rahisi tu ana kwa laki3 kila kitumwake,
Sasa nipo niiapanda endapo nitapima na kujua sio wangu tutaachana hilo ndo naliohopa coz nahitaji watoto 2 toka kwake nafikiria kufunika kombe ili anizalie tu potelea mbali huyu nitamchulua kama wangu. Ama nikapime ili moyo wangu uwe na amani.
Nataman sana adults ndo wachangie uzi huu wewe kama ni chini ya 35 of age haya mambo yaache
Ndugu intelligent business umeuona mstari wa mwisho ,kaka hawataki GEN Z kabisa kwenye uzi wake eti sasa sijui mtanchangia wapi aisee ,maana wengine nao huko mkichangia naona wanawatoa mkuku
 
Mwaka 2011 nilipata mtoto wa kiume katika mazingira yanayotaka kufanana na yako, nikaona nimsubiri mtoto afukishe miaka kama Mitano nikapime badaye ila badaye nilajiuliza VIP mtoto nikipima mtoto akawa wangu na akaja kujua kama niliwah kumpima DNA, na asipokuaa wa kwangu nitapeleka wap, kwan kuna shida gan kulea mtoto ambaye sio damu yangu. Dunia hapa tunapita hakuna haha ya kujipa stress, jambo lishatokea lipokee kama lilivyo waza mambo mengine, Huyo ni mwanao achana na mambo ya DNA wala kufanana vidole, achana na kufatilia hayo
Hizi ndo comment sasa, nashukuru sana bro.
 
Nenda Kapime DNA kimya kimya.

Ni bora Ulee Huyo mtoto kama Step father utakua na Amani, kuliko hivyo unavyo taka kufanya.

Kama sio wako, Jinsi anavo kua ndo atakua Hafanani kabisa na wewe, Na utaanza kuona anafanana na Majirani.

Umri wako sio wa kujipa hizo presha utakuja kufa tu, siku huyo mwanamke atakapo kuropokea kua kwanza huyo mtoto sio wako
 
Dahh mtu umeoa na umesha zeeka ila Sasa kubonyeza bonyeza vibinti kisa unataka mtoto wa 5??? Acha umalaya mkuu.
 
Andaa hata ghorofa moja hapo kariakoo la kurithisha watoto ndo ufikirie kuongeza watoto
 
Heshima kwenu wakuu, kiumri ni mkubwa 45+, nimekuwa na shida ya uzazi na shemeji yenu, anabeba ujauzito linajitokeza tu tatizo kidogo tunapoteza mtoto siku ya kujifungua na always huwa anajifungulia hospitali ya mkoa, first born wetuana 17 yrs now, tulimpata tukiw chuo. Second ambae ni wa 5kuzaliwa ana 4yrs.
Kama mwanaume nlitaman sana kuwa na watoto wadiopungua 5, na hii imeniathiri sana kisaikolojia ikapelekea nikawa mtu wa kujitenga sitaki marafiki yasn nikitoka job ni home tena chumbani tu, hata ofisini huwa sina story kabisa na mtu isipokuwa ofice mate wangu ambaye tupo ofisi moja.
Jambo hili lilinipelekea kuwaza kuongezamke ila kukawa na shida ya imani, familia pia, mm ni mkristo.
Akili niliyopata ni kutafuta mwanamke 1 nizae nae tu. So miaka ya, 2018 nikaanza huo mchakato, binti wa 1 nlimpata mdogo tu tukakubaliana ila ssalitoa mimba huko nyuma vibaya akapata infections akawa hadhiko mimba tihangaika sana bila mafanikio ikabidi nimwache aolewe, binti wa 2 nlimpata ila nikagundua malaya tu nikaacha, 2022 nlipata mwingine I knew hajatulia ila nlikubaliana na kila kitu ili mradi anizalie nae tuliachana coz aliniomba nimsomeshe chuo akapata bwana mwaka wa 2 tu.
2023 nikapata binti mwingine, nae nlimkuta yupo kwenye relation japo alinidanganya, nlidumu nae miezi 6 nikaona isiwe tabu kwani nlikuwa km option kwake, baada ya miezi km 3 alirudi akaniambia nna ujauzito wako, nlitaka kulataa but nikafikiria nnataka mtoto, ikabidi turudiane tu, alirudi kwa kasi na serious balaa maana mwanzo nlikuwa kama nafosi kila kitu. Na kudanganywa sana.
Alikuwa analala kwangu hata wiki, baadae nikampangishia na nikaenda kumfata kwao nikapewa kwa ridhaa ya baba na mama yale, nililea ujauzito hadi akajifungua na sasa dogo ana mwaka na miezi 8, tunaishi wote pikapakua, nampenda sana ni binti mzuri wa sura na tabia pia japo bado mdogo sana kwangu, shida sasa alivyojifungua alizidisha miezi2 yaan dogo kazaliwa mimba ya miezi 12 hivi ama 11.5, and wasiwasi wangu ulianzia hapo, mtoto hanifanani popote ispokuwa kidole 1 cha mguu kidogo huwa sina kicha pa1 na komwe,
Nlienda ustawi kuulizia dna process ni rahisi tu ana kwa laki3 kila kitumwake,
Sasa nipo niiapanda endapo nitapima na kujua sio wangu tutaachana hilo ndo naliohopa coz nahitaji watoto 2 toka kwake nafikiria kufunika kombe ili anizalie tu potelea mbali huyu nitamchulua kama wangu. Ama nikapime ili moyo wangu uwe na amani.
Nataman sana adults ndo wachangie uzi huu wewe kama ni chini ya 35 of age haya mambo yaache
Hali ya kukosa mtoto hasa pale unapokuwa unajiweza huwa inatesa sana hasa kwa mwanaume kwani hofu zinakuwa nyingi kuchapiwa mkeo,kukosa mrithi,pressure za wazazi nk.

Kupitia andiko lako ni kwamba hujawahi kupata mtoto na huna mtoto na hilo ndilo linalokusumbua mpaka sasa na wengine wengi.

Nikiwa kama mwanaune mwenzio nakushauri kwanza nenda kapime afya yako ya uzazi kujua nini tatizo lako na kupata ushauri sahihi kwenye eneo hilo.

Pili wenzako baada ya kuhisi kuwa wanaweza kuwa na changamoto hiyo huwa wanafatilia kalenda za wapenzi wao na pia huwa hawawaambii kuwa nahitaji mtoto kutoka kwako.

Mwisho naweza kukupa msaada kujua kama mtoto ni wako ama siyo wako kupitia group zenu za damu wewe na huyo mtoto kama unazijua japo hii majibu yake ni 70% na siyo 100%

Mwisho ni njia ya asili kabisa japokuwa mtoto kama siyo wako anaweza kuumwa mno kama hujamuiguwa kama mamake atakomalia ni wako anaweza kufa kabisa
 
Watoto wawili hawatoshi jomba ? Huyo wa 17yrs kama ni wa kike kesho Kesho atakuletea mjukuu, huku bado unahangaika tena kuzaa n vibinti
 
Back
Top Bottom