Nahisi msichana wa kazi ni mchawi

Nahisi msichana wa kazi ni mchawi

Under30

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
218
Reaction score
656
Nimekagua begi lake nimekuta vifuatavyo
1.betri moja
2.unga mweusi kwenye karatasi
3.unga mwingine kwenye kikopo kidogo cha mafuta kama kakoroga na mafuta
3.unga mwekundu wenye texture kama unga wa liwa ila ni mwekundu
mshana jr na wengine msaada tutan
 
Nimekagua begi lake nimekuta vifuatavyo
1.betri moja
2.unga mweusi kwenye karatasi
3.unga mwingine kwenye kikopo kidogo cha mafuta kama kakoroga na mafuta
3.unga mwekundu wenye texture kama unga wa liwa ila ni mwekundu
mshana jr na wengine msaada tutan
wengine wana magonjwa yao tu na hizo ni.tiba zao usihukumu mapema hivyo cha msingi kaa nae msome.tabia .
MTAKUJA KUTUPA DHAHABU KWA U MAGARIBI.WENU HUO
 
unaelewa maana ya uchawi? Unajua tofauti ya uchawai, ulozi, ushrikina au tiba asili?
 
Humu waliandika vitu ambavyo ukiweka kwako mchawi hakai au haji.

Ila kwanini umempekua.. alifanyaje?
 
Mimi mtu nikimkuta na nyara za asili nakuwa sina amani naye.Ila mafuta ni tiba tu.
 
Imekuwaje hadi ukafikia hatua ya kukagua Begi lake? Je umemuuliza kuhusu hivyo vitu?
 
Sina umagharib wowote,ila mkuu nishang'atwa na nyoka kwa hiyo ujani tu mimi naogopa
Nishakaa na dogo mchawi alishakiri kwa hiyo huyu mgen nikasema ngoja nikague
 
Back
Top Bottom