Mkuu huo uzi unaitwajeHumu waliandika vitu ambavyo ukiweka kwako mchawi hakai au haji.
Ila kwanini umempekua.. alifanyaje?
Nishakaa na dogo mchawi na alishafanya makubwa hapa kwa hiyo huyu mgen nikasema nimchek
Ni cheusi tiii,hajajivhubuaUwo ni mkorogo siunajua mademu wanajipaka mambo mengi kwaajili ya urembo
Mkuu huo uzi unaitwaje
Watu wanafanyamasihara hayajawakutaMrudishe kwao..siwaamini mabeki tatu, ni kheri nimsaidie mkewangu baadhi ya kazi nikitoka kazini kuliko hawa mabinti..nishajifunza, nilikuwaga nayasikia tu kwa watu..mbaya zaidi mkiwa na mtoto mchanga......sio wote lakini
Hayo yote ni mambo ya giza chini ya expert shetani.unaelewa maana ya uchawi? Unajua tofauti ya uchawai, ulozi, ushrikina au tiba asili?
Yotr uchawiHayo yote ni mambo ya giza chini ya expert shetani.
Betri,????Mkorogo wa asili huo ww
Hiyo ni tiba asili wala siyo uchawi. Uchawi ni dhana dhahania km unavyohisi njaa, baridi n.kSielewi chochote,naomba majibu ya hayo hapo juu