Kwani kunashida gani ukiolewa na mwenye govi
Wanawake na nyie...mnhhhh.
umepata bahati ya kuliwa na "natural man " unapiga mikelele...waulize wambea wenzio kuwa mara ya mwisho kuliwa na mwenye govi ilikuwa lini utashangaa...wanawake wote mjini na ujanja wao hawajawahi kuliwa na mwenye govi...mtunze sana huyo mchumba wako..wakina wema na lulu wakimjua umekwishaaaa.
kwa taarifa yako tuu..wanasema wenye magovi ni "watamu" kuliko waliokata....nimelimiss govi langu masikini....na pia wanasema team vibamia woote wamekata hivyo basi magovi wooote ni team mandingo.
kwani atatambulisha na govi lake?
kwa mujibu wa makabila mengine ni marufuku kwa mwanamke kutazama mashine ya mwanaume.daaah mwaka na nusu .........wakati anapovua boksa unakuwa umefumba macho???!!!!
kwa mujibu wa makabila mengine ni marufuku kwa mwanamke kutazama mashine ya mwanaume.
Ahahaaa...nimecheka sana swali la mdau.
ni kweli tumuulize demu wa mshikaji.
Kwani jamaa anaenda ukweni kujitambulisha yeye au anaenda kutambulisha govi lake?
Kwani Adam alitahiriwa
Nasikia kuna madhara ya govi ndio mana naogopa.