Nahisi mkuu wa shule ananichukulia mke wangu

niende nae wapi sasa! wakati mwingine nipo class jamaa anaenda nyumbani kwangu.sasa mwisho si nitakaa nae darasani!!

. Unasema????

Yaani ukiwa darasani mwalinu mkuu anaenda nyumbani kwako???

Na wewe umetulia tu?

Sasa fanya hivi ukiwa class ukijua mwl kaenda kwako timka kimya kimya mpaka kwako, then kampe warning kali

Malizia warning kwa wife

Halafu muwinde.......

Hivi mnaanzaje mazoea ya kutembeleana?

Ndo maana ofsn sitaki mazoea na watu
 
Umeona ulivyomtangaza kwa Watumishi wenzio pale shuleni haitoshi,umeamua kuja kumchafua kwenye social networks,Huu unafki wako utakugharimu Kazi yako.
NB
Mwacheni mwenzenu atimize majukuku yake aliyopewa na taifa,mbona hamjaja kumsifia kuwa kutokana na kiburi cha Yule mwenzenu wa Idara ya History,H/M kaingia kufundisha darasani,mbona hamji huku kumsifia katika kutetea maslahi yenu Cwt?
Au hii ndio azma yenu baada ya kikao kisicho rasmi cha tarehe 27/07/2013 ?
Acha hizo Mkuu ingawa me ni mgeni ktk shule yenu na nipo kwa muda mfupi sijapendezewa kabisa na huu ujinga.
Tuonane jtatu katika majukumu yetu ya wito.
Nanenane njema Mwalimu.
. Mmmmmh subiri niconnect dots kama zitakubali
 
1. muwekee windo umshike live akiwa na mkeo wana-du, tafuta watu kabisa upate ushahidi,

2. muwekee "tego", nenda kwa babu TANGA, wakome

3. Funga kamera za security nyumbani kwako, chumbani na sebuleni , nione kwa hili

sababu cha kwanza ni kupata ushahidi live, baada ya kuwafuma cha kufanya hiyo ni juu yako, kumla kiboga hd master, kumshika ugoni akulipe pesa mingi, au lakini umeshasema wewe ni mnyalu manake unaweza kujiua.
 
Funga kamera ya siri maeneo ya sebureni, si anakupa visafari vingi basi we funga hiyo kwa siri siku ambayo hayupo, utawanasa tu na utakuwa na amani kabisa.
 
Umeona ulivyomtangaza kwa Watumishi wenzio pale shuleni haitoshi,umeamua kuja kumchafua kwenye social networks,Huu unafki wako utakugharimu Kazi yako.
NB
Mwacheni mwenzenu atimize majukuku yake aliyopewa na taifa,mbona hamjaja kumsifia kuwa kutokana na kiburi cha Yule mwenzenu wa Idara ya History,H/M kaingia kufundisha darasani,mbona hamji huku kumsifia katika kutetea maslahi yenu Cwt?
Au hii ndio azma yenu baada ya kikao kisicho rasmi cha tarehe 27/07/2013 ?
Acha hizo Mkuu ingawa me ni mgeni ktk shule yenu na nipo kwa muda mfupi sijapendezewa kabisa na huu ujinga.
Tuonane jtatu katika majukumu yetu ya wito.
Nanenane njema Mwalimu.

Taja angalu jina la shule tu na sehemu ilipo, wewe wameshakufahamu! na hairuhusiwi kutaja majina ya members.
 
Ukisafiri nenda na mkeo.
ha haaaa, umenichekeshaje hapa FF....
Mume wangu anapenda sana kusafiri na mimi kila anaposafiri kikazi, usikute kasikia kuna njemba inakujaga home akisafiri, lol! ntaanza nakataa nione reaction yake..... mi mi nilidhani ni mapenzi tu
 
Kama mkuu wako kaoa nawe mtembelee mkewe, si ndo kaanzisha ujirani mwema?
 
Habarini wana jamvi,

narudi kwenu kuomba ushauri,mimi ni mwalimu wa shule x iliyopo katika mkoa x.Ni hivi karibuni nimekuwa na mahusiano mazuri sana na mkuu wa shule yangu,kitu ambacho kilikuwa ni nadra kuwahi kutokea,kwani amekuwa akinipa safari za mara kwa mara kutoka nje ya kituo na malupulupu mengine kibao wakati staff members wenzangu wakisota na kulalama.

Kinachontisha zaidi ni huyu mkuu kuanzisha tabia ya kuwa ananitembelea nyumbani na mara nyingine akijua fika kabisa kwamba mimi sipo nyumbani.

Sasa hii nahisi ni hali ya hatari na mimi ni mnyalu kutafuta kamba wala sioni kazi.

Naombeni ushauri wenu jaman, nifanyeje?

kama unahisi anamchapa kitandani kwako, kanunue voice recorder ndogo ya mchina ya bei rahisi yenye uwezo wa kurecord masaa 72+ iweke iache ON sehemu ambayo hawataiona karibu na 6X6, ukisafiri ukirudi sepa nayo mahala kai-replay(fast play) mpaka utakaposikia kitu, then unaweza kuanzia hapo kufanya uchunguzi zaidi, ukiweka kamera wanaweza wakaiona kiurahisi.
 
Umeona ulivyomtangaza kwa Watumishi wenzio pale shuleni haitoshi,umeamua kuja kumchafua kwenye social networks,Huu unafki wako utakugharimu Kazi yako. NB Mwacheni mwenzenu atimize majukuku yake aliyopewa na taifa,mbona hamjaja kumsifia kuwa kutokana na kiburi cha Yule mwenzenu wa Idara ya History,H/M kaingia kufundisha darasani,mbona hamji huku kumsifia katika kutetea maslahi yenu Cwt? Au hii ndio azma yenu baada ya kikao kisicho rasmi cha tarehe 27/07/2013 ? Acha hizo Mkuu ingawa me ni mgeni ktk shule yenu na nipo kwa muda mfupi sijapendezewa kabisa na huu ujinga. Tuonane jtatu katika majukumu yetu ya wito. Nanenane njema Mwalimu.
Kumbe waarabu wa pemba?
Haya endeleeni kufunguka.
 
Habarini wana jamvi,

narudi kwenu kuomba ushauri,mimi ni mwalimu wa shule x iliyopo katika mkoa x.Ni hivi karibuni nimekuwa na mahusiano mazuri sana na mkuu wa shule yangu,kitu ambacho kilikuwa ni nadra kuwahi kutokea,kwani amekuwa akinipa safari za mara kwa mara kutoka nje ya kituo na malupulupu mengine kibao wakati staff members wenzangu wakisota na kulalama.

Kinachontisha zaidi ni huyu mkuu kuanzisha tabia ya kuwa ananitembelea nyumbani na mara nyingine akijua fika kabisa kwamba mimi sipo nyumbani.

Sasa hii nahisi ni hali ya hatari na mimi ni mnyalu kutafuta kamba wala sioni kazi.

Naombeni ushauri wenu jaman, nifanyeje?

Wanyalu bana!!!! Sasa kamba ya nini hapo, unataka umwachie kabisa ale kwa uhuru? au ni ya kumnyongea yeye? uozee jela masela wengine waendelee kumgegeda?
 
haya bhana sitakupa tena safari za kikazi nje ya kituo, lkn sikuwa nimewaza hivyo ila sasa nitaanza kumnyemelea na alivyo na mgongo.
 
haina haja ya kuumiza kichwa sana naye anamke, dawa ya moto ni moto, maliza mkewe
 
kama naye anamke malizana naye haina haja ya kujiliza ww mwanaume ,chanja mbuga kwa mkewe:help:
 
fanya upelelez kisha toa maamuz ya kisomi c ya kishamba et ya kujigida...ukijua kweli anza mitikasi ya uhamisho bila ya huyo mkuu wako kujua dhamira yako na ukishafanikiwa mpge chn wife ako.
 
Taja angalu jina la shule tu na sehemu ilipo, wewe wameshakufahamu! na hairuhusiwi kutaja majina ya members.

Kama alivyoficha yeye nami nitafanya hivyo,ila sijapendezewa na upuuzi kama huu, Mwenzao kaondolewa kwenye nyumba ya shule kwasababu ya kipuuzi sana,afu huyu anakuja kichwa kichwa huku kuanzisha thread.......Mkifanikiwa kumuondoa kama hila zenu zinavyowasumbua mjiandae kupokea MSAMVU ZA KUTOSHA,maana mtakuwa mmeondoa uwajibikaji Kazini.
 
Umeona ulivyomtangaza kwa Watumishi wenzio pale shuleni haitoshi,umeamua kuja kumchafua kwenye social networks,Huu unafki wako utakugharimu Kazi yako.
NB
Mwacheni mwenzenu atimize majukuku yake aliyopewa na taifa,mbona hamjaja kumsifia kuwa kutokana na kiburi cha Yule mwenzenu wa Idara ya History,H/M kaingia kufundisha darasani,mbona hamji huku kumsifia katika kutetea maslahi yenu Cwt?
Au hii ndio azma yenu baada ya kikao kisicho rasmi cha tarehe 27/07/2013 ?
Acha hizo Mkuu ingawa me ni mgeni ktk shule yenu na nipo kwa muda mfupi sijapendezewa kabisa na huu ujinga.
Tuonane jtatu katika majukumu yetu ya wito.
Nanenane njema Mwalimu.
Nadhani una mapepo mwalimu
 
haijarishi! faham wengi wao mi 18 tayari
 
Habarini wana jamvi,

narudi kwenu kuomba ushauri,mimi ni mwalimu wa shule x iliyopo katika mkoa x.Ni hivi karibuni nimekuwa na mahusiano mazuri sana na mkuu wa shule yangu,kitu ambacho kilikuwa ni nadra kuwahi kutokea,kwani amekuwa akinipa safari za mara kwa mara kutoka nje ya kituo na malupulupu mengine kibao wakati staff members wenzangu wakisota na kulalama.

Kinachontisha zaidi ni huyu mkuu kuanzisha tabia ya kuwa ananitembelea nyumbani na mara nyingine akijua fika kabisa kwamba mimi sipo nyumbani.

Sasa hii nahisi ni hali ya hatari na mimi ni mnyalu kutafuta kamba wala sioni kazi.

Naombeni ushauri wenu jaman, nifanyeje?

tindikali
 
Back
Top Bottom