Nahisi mkuu wa shule ananichukulia mke wangu

Nahisi mkuu wa shule ananichukulia mke wangu

Habarini wana jamvi,narudi kwenu kuomba ushauri,mimi ni mwalimu wa shule x iliyopo katika mkoa x.Ni hivi karibuni nimekuwa na mahusiano mazuri sana na mkuu wa shule yangu,kitu ambacho kilikuwa ni nadra kuwahi kutokea,kwani amekuwa akinipa safari za mara kwa mara kutoka nje ya kituo na malupulupu mengine kibao wakati staff members wenzangu wakisota na kulalama.Kinachontisha zaidi ni huyu mkuu kuanzisha tabia ya kuwa ananitembelea nyumbani na mara nyingine akijua fika kabisa kwamba mimi sipo nyumbani.Sasa hii nahisi ni hali ya hatari na mimi ni mnyalu kutafuta kamba wala sioni kaziNaombeni ushauri wenu jamani
nifanyeje,,.

Nenda Temeke upewe Tego la kugandana!
 
Tafuta tu kamba ujinyonge kwa sababu hata ugumu wa maisha hauishii hapo kwenye kula vumbi la chaki darasani ukiwapigania watoto wa wenzio wasio na shukrani huku haohao wakikug***dea mkeo!
Pia kuna kodi, nauli, vumbi, mshahara mdogo, wategemezi wengi, maudhi ya kawaida!

In short if u let people dictate your destiny then you are as good as dead already so you may as well go ahead
 
mwekee mtego siku 1 muage mkuu wako kwa barua ya ruhusa kabisa kisha bana sehemu kisha waibukie ghafla. Waweza mhusisha mkeo au ukafanya mwenyewe bila hata yeye kujua.
 
ongea na mkeo kwanza ndo wa kumsikiliza anasema nin! Usiwe na haraka ya kamba utaingiza hasara watoto wako we vip?....

usimshauri kuongea a mkewe atatafuta mechanism za kujidefence binadamu wako creative kwenye matatizo. Nakushauri tega mtego tu wa kurudi ghafla unapohisi kuwa watakuwa pamoja. Elewa kila safari ya mkeo bila yeye kujistukia kama unamfatilia
 
Habarini wana jamvi,

narudi kwenu kuomba ushauri,mimi ni mwalimu wa shule x iliyopo katika mkoa x.Ni hivi karibuni nimekuwa na mahusiano mazuri sana na mkuu wa shule yangu,kitu ambacho kilikuwa ni nadra kuwahi kutokea,kwani amekuwa akinipa safari za mara kwa mara kutoka nje ya kituo na malupulupu mengine kibao wakati staff members wenzangu wakisota na kulalama.

Kinachontisha zaidi ni huyu mkuu kuanzisha tabia ya kuwa ananitembelea nyumbani na mara nyingine akijua fika kabisa kwamba mimi sipo nyumbani.

Sasa hii nahisi ni hali ya hatari na mimi ni mnyalu kutafuta kamba wala sioni kazi.

Naombeni ushauri wenu jaman, nifanyeje?


Yes, hapa kuna dalili kubwa sana kuwa unamegewa chakula chako kwani hata Mobutu Seseseko wa Zaire/DRC alikuwa anafanya hivi pia kwa mawaziri wake. Akimpenda tu mkeo basi wewe na misafara feki ya nje na posho kibao huku Mamaa analiwa tu taratibu. Cha kufanya, muonye mkeo na kumpa tahadhari, akijitia kiburi mwambie aanze zake kwani atakuja kukutoa roho kabla ya siku si zako.
 
Naikumbuka sana JAMBO FORUMS HUWEZI KUKUTANA NA WATU KAMA ETI MWALIMU HATA LUGHA AJUI NA ANAOMBA USHAURI KWA WATU AMBAO UNAWEZA KUKUTA NI WANAFUNZI WAKE.
Dah umetisha mkuu,jichinguze kabla hujakosoa!
 
peleka MMU habar kama hz...im not against this thread bt i dont thnk if this is the ryt place for such threads.
Nimeamini we kweli ni mbwiga! Don't you think that this can lower moyo wa mwalimu kufundisha na hivyo kupelekea wanafunzi kukosa haki yao ya msingi kabisa
Tafakari kabla hujakurupuka.
 
Mkuu acha uvivu fanya uchunguzi wa kina kama ni kweli utajua tu siku
za mwizi ni 40, ukimkamata huyo m/mkuu mkate marinda na kumsafisha nyota tena mbele ya wf wako kisha na huyo wf wako mchapishe lapa.
Duh, haya
 
kaka kwani anakutuma bure? we hizo shiling kula kama kweli utammbana tu. sasa cha kufanya tafuta reaction ya mkeo kwa kumwambia unasikia mkuu ana ngoma yaani UKIMWI kama kakamuliwa kweli atareact tu kinamna.[/
QUOTE]
Hiyo kali
 
Tafuta tu kamba ujinyonge kwa sababu hata ugumu wa maisha hauishii hapo kwenye kula vumbi la chaki darasani ukiwapigania watoto wa wenzio wasio na shukrani huku haohao wakikug***dea mkeo!
Mmmh!
Pia kuna kodi, nauli, vumbi, mshahara mdogo, wategemezi wengi, maudhi ya kawaida!

In short if u let people dictate your destiny then you are as good as dead already so you may as well go ahead

Aisee wewe
 
Nimeamini we kweli ni mbwiga! Don't you think that this can lower moyo wa mwalimu kufundisha na hivyo kupelekea wanafunzi kukosa haki yao ya msingi kabisa
Tafakari kabla hujakurupuka.

Ita lower moyo wa mwalimu kwa kweli, unaweza toka kifuani ukaenda magotini ikawa taabu..
 
Duh unaonekana mpole..jifanye unasafisha ile bunduki yako wkt amekuja kukutembelea
 
Umeona ulivyomtangaza kwa Watumishi wenzio pale shuleni haitoshi,umeamua kuja kumchafua kwenye social networks,Huu unafki wako utakugharimu Kazi yako.
NB
Mwacheni mwenzenu atimize majukuku yake aliyopewa na taifa,mbona hamjaja kumsifia kuwa kutokana na kiburi cha Yule mwenzenu wa Idara ya History,H/M kaingia kufundisha darasani,mbona hamji huku kumsifia katika kutetea maslahi yenu Cwt?
Au hii ndio azma yenu baada ya kikao kisicho rasmi cha tarehe 27/07/2013 ?
Acha hizo Mkuu ingawa me ni mgeni ktk shule yenu na nipo kwa muda mfupi sijapendezewa kabisa na huu ujinga.
Tuonane jtatu katika majukumu yetu ya wito.
Nanenane njema Mwalimu.
 
Back
Top Bottom