Nahisi mkuu wa shule ananichukulia mke wangu

Nahisi mkuu wa shule ananichukulia mke wangu

Ukisafiri nenda na mkeo.
Mkuu FF hiyo ita-solve problem kwa muda tu, lakini kama moyo umekwisha kolea na mambo ya mapenzi hakuna anaye weza kuwadhibiti wasikutane, binafsi uchukulia tatizo hili kama ugonjwa wa akili wa muda (temporary lunacy) hata amseme vipi hatamsikia! - watabuni mbinu mpya za kukutana.
 
Back
Top Bottom