Nahisi mfanyakazi mwenzangu ana njama za kuniroga, naombeni ushauri wenu

Achana nae huyo kenge tu "kuna bibi mmoja maika ya nyuma alikuja kwa bi mkubwa akamwambia kauli kama hizo, sasa bi mkubwa akasoma mchezo akamwambia usiniletee mambo yako hapa, baada ya wiki mbili yule mama mganga alikufa, tukahisi yalikuwa yanamshinda akatafuta sehemu ayaweke yatuangamize

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh
 
muafi,
Mkatalie kata kata. Usimtukane wala kumsema kazini kwani utampa uhalali wa kutenda uovu wake. Kama wewe Mkristo basi kaa na Yesu vizuri. Ataangukia kidevu.
 
Mkatalie kata kata. Usimtukane wala kumsema kazini kwani utampa uhalali wa kutenda uovu wake. Kama wewe Mkristo basi kaa na Yesu vizuri. Ataangukia kidevu.
Shukrani kiongozi👏
 
Ole wake mtu yule amuaminie mwanadamu kama kinga yake mbinguni amelaaniwa.
 
Ukiona mtu anakushauri uovu ujue amekudharau.

Unaonekana wewe ni mtu wa kudharaulika. Ndio maana hata alivyokuambia ukamkubalia kinafiki.

Nini kilikushinda kumkatalia na kumkemea ikiwezekana kumchapa makofi kwa kuleta dharau ndani ya nyumba.

Biblia inasema; Mtu akikushauri umuache Mungu ufuate miungu mingine mtu huyo unapaswa umuue. Wala damu yake haitahesabika juu yako.

Sasa kwa vile sheria za nchi zinakataza kuua. Huyo ungepaswa umchape makofi mawili ya adabu.

Habari hiyo ingeenea na angekuwa mfano kwa wengine.

Unaonekana wewe ni mtu wa kudharaulika. Mimi mtu hawezi ongea upuuzi kama huo bado niwe uraiani. Lazima polisi watajua kuna jambo limetendeka.

Usikubali mtu akadharau ujana wako.

Pumbavu kabisa
 
Huyo Ni tapeli
Usikubali..ukikubali atakufanyia hayo halafu ataanza kukudai hela.

Case Kama hii nimeisikia imetokea juzi Kati hapa.
Mtu kaenda huko matembezi akaopoa mtu,akarudi naye nyumbani..
Amefika pale akaanza kumtisha km hivyo,
Yule akakubali kutibiwa..amechanja akampa na hiyo midawa baadaye akaanza kumdai hela na kumtishia kumuuwa.
Wajinga ndio waliwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom