Nahisi mfanyakazi mwenzangu ana njama za kuniroga, naombeni ushauri wenu

Kipimo halisi cha kujua mtu mwenye hitilafu kwenye ubongo..!! Niamini nnachokuambia,huyo jamaa ni kichaa halisi,ww ndo una wajibu wa kumsaidia!

Km huna kipawa kizuri cha kushauri fanya kila uwezalo japo akutane na watu wa saikolojia ili waweze kumsaidia kuondokana na hali hiyo..!! Ukimuacha siku chache zijazo atavuka hiyo stage..na atakuwa chizi kamili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hiyo nyumba umepanga we mkubalie tuu af akimaliza we unahama mbona kaz ndogo tu hiyo
 
Ukimvulilia huyo utaandamwa na hatari ya utumwa wa ushirikina. Achana naye kabisa.
 
Mfukuze huyo atakuua mara moja. Mwambie uimeshayamaliza mkimbie kabisa. Hafai. Yaani mimi ninge mblock jumla.
 
Kama hiyo nyumba umepanga we mkubalie tuu af akimaliza we unahama mbona kaz ndogo tu hiyo
Anataka ninunue wembe mpya na mimi anichanje hata nikisema nihame bado ntahama navyo mwilini
 
Wewe ni muumini wa Dini gani? Dini yako inasemaje kuhusu ushirikina? Dawa ya giza ni mwanga na sio giza. Ukithubutu kushiriki ushirikina wake umekwisha!
 
Back
Top Bottom