Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,609
- 2,738
Acha dharau wewe kwa mtu humjui[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jamaa ni muhayaaa.... Yani hapa hamna kituuu ukute kaofisi ka laki tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha dharau wewe kwa mtu humjui[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jamaa ni muhayaaa.... Yani hapa hamna kituuu ukute kaofisi ka laki tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wadau walikuwa wanamtetea dada kwamba eti anajua kusimamia biashara !!, yaani kumkatalia jamaa kuprint documents zakeDocuments ambazo uliweza kwenda kuziprinti ofsini kwako, tuamini kuwa hazikuwa nyingi kivile.
Umeenda kwa ofisi ya huyo unaita mchumba, ofisi ambayo wewe unadai ulimfungulia ila amegoma kukuprintia [no money, no service].... kuna mke hapo..?
Jibu ulilopewa ulipoenda kuprint karatasi halikuwa zuri kwako,ila sasa na wewe kuanzia pale ukawa kama umewashwa kama gari na kuanza kufanya mambo ambayo yanaonyesha hukutumia busara kabisa hata kidogo. Unakosa kabisa hekima katika swala hili, pamoja na kuwa upande mwingine nao hekima imetetereka, wewe unazidi.Wanajukwaa habarini, natumaini hamjambo na mko poa.
Nimeleta swala hapa naomba mnishauri au mm ndio namtazamo mbaya kabla sijachukua action yoyote Kuna binti mmoja nipo kwenye uhusiano na yeye kwa muda kama wa miaka 3. Mwaka jana niliamua niende juzi nilienda kwao kujitambulisha na nikatoa kishika uchumba
Baada ya kurudi maisha yaliendelea kila mmoja akiwa anaishi kwake.
Kwa kuwa tulikuwa tunaishi mbalimbali nikaona nimuwezeshe mwenzangu nikamfungulia biashara ya jumla kama milion 4 .2. Lengo lilikuwa tuwe tunasaidiana katika maisha na yeye nimpe kazi apate kazi rasmi. Baada ya mwezi mmoja nilianza kuona kama utofauti nilienda na kaxi pale ofcn kwa mchumba wangu nikamwambia nifanyie kuprint page zilikuwa kama kumi jibu nililopewa nikaambiwa no money no service
Niliingiwa na hasira nikamjibu pale pale hivi vitu vyoye nani alinunua?
Nikaamua kuondoka nikarudi ofcn nikafungua nikaprint ile kazi ofcn japo ilikuwa jion sana. Baada kama ya wiki akaniambia naomba nihamie kwako !! Ili tuanze kuishi pamoja umeshajitambulisha tayari kwetu. Nikamjibu nipe muda nitakujibu, kila tulipokuwa tunakutana alisisitiza jambo lile lile
Nikamwambia ongea na ndugu zako sio waje wasikie upo kwangu halafu waanze kunisumbua ,akanijibu tayari nimeongea. Siku moja nilisafiri kikazi niliporudi tayari nilimkuta kahamishia vitu vyake vyote vipo kwangu. ..nikapigwa nabutwaa tu kwa kuwa ufunguo wa nyumba huwa tumegawana
Tatizo lilipoanzia
Majuzi mama yake kampigia cm walikuwa wanaongea kwa kiruga ila kwa kuwa kilikuwa ni kibantu kuna maneno niambulia kuyasikia baadae akamwambia mpe simu mumeo, akanipa. Tuliongea vizuri salamu na baadae akaanza sasa wewe umekuja kujitambulisha ,halafu umeenda jumla ...haujarudi tukupangie mahali
Nikamwambia mama swala la mahali bado najipanga nitakapokuwa tayari nitakuja ..akajibu yaani wewe mpaka sasa hivi haujajipanga tu. Ikabidi nimtolee uvivu nikamwambia wewe unajua uchumi wangu ? Unajua mipango yangu nikamwambia kwani mahali ni lazima au ni zawadi akanijibu mm naitaka mahali si unajua uko na binti yangu huyo ni binadamu, Mara nataka nile mahali kabla sijafa
Nikamjibu nimekuelewa ila sifikirii leo au kesho kuleta mahali kama kuna mwanaume mwingine anataka kuleta mahali pokeeni binti yenu aolewe. Baada ya kukata cm mchumba wangu aakaanza yaani unamjibu mama yangu hivyo kweli nikamwambia ulitaka nimjibu vipi?
Nilikulazimisha uhamie kwangu ? Mbn ndugu zako sio wastarabu hivi hawaoni juhudi nilizozifanya kwako kukukwamua na kukufungulia ofisi kwa sasa sina hela
Nikamwambia na wewe kama unaona mm sina dira ya maisha yako chapa mwendo ..hiyo ofisi chukua vitu vyot
Godface how unanitusi ??.Wewe ni mshamba pu
Wewe ni mshamba ....wala mm sio muhaya nalengosha omasala gete .....🏃🏃🏃 Mi ni msukuma najivunja kuwa na msimao
Wewe ni mshamba ....wala mm sio muhaya nalengosha omasala gete .....[emoji125][emoji125][emoji125] Mi ni msukuma najivunja kuwa na msimao
Kuna wadau walikuwa wanamtetea dada kwamba eti anajua kusimamia biashara !!, yaani kumkatalia jamaa kuprint documents zake
wazeee...huko ni kujichora nitakabiriana nalo mpk mwisho ....katikisa kiberiti mm nawasha ovenaJibu ulilopewa ulipoenda kuprint karatasi halikuwa zuri kwako,ila sasa na wewe kuanzia pale ukawa kama umewashwa kama gari na kuanza kufanya mambo ambayo yanaonyesha hukutumia busara kabisa hata kidogo. Unakosa kabisa hekima katika swala hili, pamoja na kuwa upande mwingine nao hekima imetetereka, wewe unazidi. Kutetereka kwa hekima ya upande ule wa pili, kulitakiwa kufidiwe na hekima na busara zako, lakini cha ajabu wewe ndiyo ukawa katika hali mbaya zaidi kiasi kwamba upande niliodhani kuwa wewe unaweza kuwa msaada kwao kimawazo, wao kumbe ndiyo wanaweza kuwa msaada kwako, na si wewe kwao. Napendekeza utafute wazee wa hekima wakushauri katika swala, au ukawaone watumishi wa Mungu watakusaidia zaidi
Onene nalema kotujiwa ong'o omanile abasukuma omo tole ...kopeja kima ..makanza gose gose ....yaya nalema yaya gete !! Gete alehaya kwenga naengage doho nakotola ongeOnywanna be lekaga kunigola, ngosha ohe okutujiwa ni ikema..?
Nkong’wanzoka [emoji3][emoji3][emoji3]
Umewahi ongea na Mama yako mzazi kwa kumfokea hata kama yeye ndio kakukosea???Leo umeongea naye ivo, nikwamba hauna mpango kabisa wakumtolea mahari huyo binti???
Nakama upo, utajisikiaje siku sasa ukienda kutoa mahari ???.
Huenda Mama mkwe wako anadhan uchumi upo... mueleweshe tu, mama pesa niliona kwanza nimuwezeshe mwenzangu n.k kisha nijipange nitoe mahari.
So upo tayari kumpoteza mwanamke na uwekezaji uloufanya kwaajili yenu wawili... Sababu tu ya kauli zako????
Kumbuka kua, sio kila siku mwanamke mpumbavu ndio huboa nyumba yake...Siku hizi wanaume ndo wanaongoza kubomoa nyumba.
Baadhi ya mambo usipende tumia 'Ukanda wa ziwa', wacha Busara na Hekima vifanye kazi...... Na muhesabu mwenzako kama Sehem yako.
Wanajukwaa habarini, natumaini hamjambo na mko poa.
Nimeleta swala hapa naomba mnishauri au mm ndio namtazamo mbaya kabla sijachukua action yoyote Kuna binti mmoja nipo kwenye uhusiano na yeye kwa muda kama wa miaka 3. Mwaka jana niliamua niende juzi nilienda kwao kujitambulisha na nikatoa kishika uchumba
Baada ya kurudi maisha yaliendelea kila mmoja akiwa anaishi kwake.
Kwa kuwa tulikuwa tunaishi mbalimbali nikaona nimuwezeshe mwenzangu nikamfungulia biashara ya jumla kama milion 4 .2. Lengo lilikuwa tuwe tunasaidiana katika maisha na yeye nimpe kazi apate kazi rasmi. Baada ya mwezi mmoja nilianza kuona kama utofauti nilienda na kaxi pale ofcn kwa mchumba wangu nikamwambia nifanyie kuprint page zilikuwa kama kumi jibu nililopewa nikaambiwa no money no service
Niliingiwa na hasira nikamjibu pale pale hivi vitu vyoye nani alinunua?
Nikaamua kuondoka nikarudi ofcn nikafungua nikaprint ile kazi ofcn japo ilikuwa jion sana. Baada kama ya wiki akaniambia naomba nihamie kwako !! Ili tuanze kuishi pamoja umeshajitambulisha tayari kwetu. Nikamjibu nipe muda nitakujibu, kila tulipokuwa tunakutana alisisitiza jambo lile lile
Nikamwambia ongea na ndugu zako sio waje wasikie upo kwangu halafu waanze kunisumbua ,akanijibu tayari nimeongea. Siku moja nilisafiri kikazi niliporudi tayari nilimkuta kahamishia vitu vyake vyote vipo kwangu. ..nikapigwa nabutwaa tu kwa kuwa ufunguo wa nyumba huwa tumegawana
Tatizo lilipoanzia
Majuzi mama yake kampigia cm walikuwa wanaongea kwa kiruga ila kwa kuwa kilikuwa ni kibantu kuna maneno niambulia kuyasikia baadae akamwambia mpe simu mumeo, akanipa. Tuliongea vizuri salamu na baadae akaanza sasa wewe umekuja kujitambulisha ,halafu umeenda jumla ...haujarudi tukupangie mahali
Nikamwambia mama swala la mahali bado najipanga nitakapokuwa tayari nitakuja ..akajibu yaani wewe mpaka sasa hivi haujajipanga tu. Ikabidi nimtolee uvivu nikamwambia wewe unajua uchumi wangu ? Unajua mipango yangu nikamwambia kwani mahali ni lazima au ni zawadi akanijibu mm naitaka mahali si unajua uko na binti yangu huyo ni binadamu, Mara nataka nile mahali kabla sijafa
Nikamjibu nimekuelewa ila sifikirii leo au kesho kuleta mahali kama kuna mwanaume mwingine anataka kuleta mahali pokeeni binti yenu aolewe. Baada ya kukata cm mchumba wangu aakaanza yaani unamjibu mama yangu hivyo kweli nikamwambia ulitaka nimjibu vipi?
Nilikulazimisha uhamie kwangu ? Mbn ndugu zako sio wastarabu hivi hawaoni juhudi nilizozifanya kwako kukukwamua na kukufungulia ofisi kwa sasa sina hela
Nikamwambia na wewe kama unaona mm sina dira ya maisha yako chapa mwendo ..hiyo ofisi chukua vitu vyot
Utaoje 4mil kwa Dada unaye test mitambo mkuu ,umasikini unaupenda Sanaa auMm sina mpango wa kutoa !! Leo wala kesho
Bado natest mitambo mzee baba
Mchumba apewi mtaji baharia ...ukimpa bac test mtambo...kwel kwel...Mm sina mpango wa kutoa !! Leo wala kesho
Bado natest mitambo mzee baba
Be carefully when you do a Quote to someoneSory nilidhanj ww ndio umeniambia mmm kuwa ni muhaya nisamehe ndugu
Wewe nimegundua una matatizo, huyo kizaa chema huwa hajibiwi shombo, huwa tunanyenyekea ili kupalilia mahusiano na watoto wao, ninayasema haya kwako kwa sababu naamini hata mkiachana na huyu wa sasa bado utapata mwingine na kwa tabia yako hiyo yaweza kujirudia hayahaya, take care.Sory nilidhanj ww ndio umeniambia mmm kuwa ni muhaya nisamehe ndugu
Yaani mkuu upo tayari kunyenyekea kwa sababu tu ya kulinda mahusiano !! Sisi kwetu wasukuma ni mwiko ...mama mkwe ndiye anapaswa aniheshimu mm kwanza 🗣️kwa ushauri wako naukataa waz wazWewe nimegundua una matatizo, huyo kizaa chema huwa hajibiwi shombo, huwa tunanyenyekea ili kupalilia mahusiano na watoto wao, ninayasema haya kwako kwa sababu naamini hata mkiachana na huyu wa sasa bado utapata mwingine na kwa tabia yako hiyo yaweza kujirudia hayahaya, take care.
Nimekupa ushauri kwa nia njema saana na ni kwa faida yako, wewe msukuma wa wapi ?, umeng'ang'ania mila za zama za kale za mawe !, watu sasa wamestaarabika ndugu, mimi mwenyewe msukuma wa hapo maswa na ninakuambia ninamheshimu mama mkwe wangu, sasa is up to you kuamua kubadirika au uendelee hivyohivyo na misamamo yako ya ki primitive, mama mkwe unataka akuheshimu wewe umekuwa nani hasa ?.karne hii ya sayansi na technolojia ya kistaarabu., acha mara moja hayo mambo yakoYaa
Yaani mkuu upo tayari kunyenyekea kwa sababu tu ya kulinda mahusiano !! Sisi kwetu wasukuma ni mwiko ...mama mkwe ndiye anapaswa aniheshimu mm kwanza 🗣️kwa ushauri wako naukataa waz waz
Nimekupa ushauri kwa nia njema saana na ni kwa faida yako, wewe msukuma wa wapi ?, umeng'ang'ania mila za zama za kale za mawe !, watu sasa wamestaarabika ndugu, mimi mwenyewe msukuma wa hapo maswa na ninakuambia ninamheshimu mama mkwe wangu, sasa is up to you kuamua kubadirika au uendelee hivyohivyo na misamamo yako ya ki primitive, mama mkwe unataka akuheshimu wewe umekuwa nani hasa ?.karne hii ya sayansi na technolojia ya kistaarabu., acha mara moja hayo mambo yako
[/QUmi msukuma wa tabora ...sio mambo ya primitive mkuu ,..hizo ndio taratibu