acha uchawi weweeeDuh kuna watu kweli hamjielewi unakiri unamchukia Diamond at the same time unaniita mi nnachuki wakati sijawahi kusema namchukia ally kiba kama wewe ulivyokiri mwenyewe bila shuruti kwamba unamchukia diamond... Unajielewa kweli sister
Naona km wabongo mnapenda kukuza mambo, kwani ku campaign for someone ina maanisha una chuki na mwingine. It's just a game
Kama kukampeni angeaza na msanii wake Mirror anaemmeneji na kuinvest pesa yake. Zaidi ya hapo ni ushamba tu wa kutokubali matokeo ya kuachwa na Dangote.
Matumbo punguza ushabiki, sasa angeanza na Mirror kivipi kwani Mirror yupo kwenye category gani?
Kama kukampeni angeaza na msanii wake Mirror anaemmeneji na kuinvest pesa yake. Zaidi ya hapo ni ushamba tu wa kutokubali matokeo ya kuachwa na Dangote.
Sio nongwa ila tunamshangaa ALLY kwa kuwaacha WAJINGA FULANI kwa kutumia mgongo wake kwa ajili ya visasi vyao na sio kwamba wanampenda
ndio hivyo tena team wema wameamua kumbeba kijana wa watu msobe msobe, hahahahaaaa hii inaitwa unataka hutaki tunakupigia kampeini, na LENGO KUU ni kumkomesha diamond, sidhani kama kiba kaomba hii backup kubwa hivi. nae si ajabu anashangaa.
Akishinda video bora yatakuwa maajabu ya mwaka...
Kwa jinsi Wamemkera Diamond kuna hatihati kama atahudhuria tuzo hizo... Ukimuona Daimond amekubali kuja siku hiyo ya KTMA ujue anachukua nyingi, hawezi kuja kuabishwa kipumbavu kirahisirahisi
Nani mchagga? Au umekuwa sheikh Yahya nn sku hzi unatabiri hadi kabila la Anonymous
Sio nongwa ila tunamshangaa ALLY kwa kuwaacha WAJINGA FULANI kwa kutumia mgongo wake kwa ajili ya visasi vyao na sio kwamba wanampenda
ila kweli nimeamini usishindane na aliyepewa aisee, najiuliza upinzani mkubwa anaoupata diamond toka kwa hizi team mbili kubwa( team wema na team kiba) na bado hajaonesha dalili ya kupepesuka, Mungu ni wa ajabu sana kwa kweli, watu wamefanya kila njia ili mradi tuu diamond afulie lakini wanaishia kupata aibu, sasa wameamua kuunganisha nguvu, ili tu kumuangusha diamond na bado mtapata aibu nawaambieni.
Wema ni mzuri tatizo IQ yake ipo below minimum level. Ni hilo tu.