Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,615
- 18,266
Baada ya kufwatilia Uongozi wa Baraka Obama tangu aingie Madarakani, nafikiri huyu Jamaa sio intelligent sana kama wengi wetu tunavyodhania.
Nasema hivi kwa maana anafanya mambo ambayo mtu au Raisi intelligent hawezi kuyafanya aidha atakuwa na wasaidizi ambao wanamdanganya kwa manufaa yao (kumtumia) na kama ni hivyo Basi atakuwa kilaza kwani alipaswa ajue anachoshauriwa.
Anaongea kuhusu kuiwekea Urusi vikwazo vya Kiuchumi wakati kila Mtaalamu wa maswala ya Uchumi wa Kidunia anajua kwamba hilo haliwezekani, wakati huo huo Makampuni makubwa ya Ulaya na Marekani yanasainiana Mikataba minono na Serikali ya Urusi, matokeo yake Putini anamcheka na jamaa kubaki kuonekana kituko tu.
Aliongelea kuhusu kuifunga Guantanamo mpaka leo hakuna kilichofanyika, alisema atarudisha majeshi ya Marekani ktk Iraki lkn hakuna kilichofanyika, Afganistani hivyo hivyo, kwa kifupi hajafanya hata kimoja alichosema/ alichoahidi kwamba angefanya... Mara 100 Joji Bushi alisema kwamba akiingia atamtoa Sadamu Huseni na kweli akafanya kama ilikuwa sawa ama si sawa lkn ali[SIZE=3]simam[SIZE=3]ia alichoaahidi!
A[/SIZE]likwenda kwenye Msiba AK wa Mandela anapiga picha huku akikenua meno wakati ni sehemu ya huzuni, yaani utafikiri alikuwa kwenye Pati, hakuna raisi Intelligent anayeweza kufanya upuuzi kama huo...Ile picha iliwenda Dunia nzima na ilistaajabisha watu wengi sana...[/SIZE]