Nahisi Baraka Obama ni Kilaza!

Nahisi Baraka Obama ni Kilaza!

Baada ya kufwatilia Uongozi wa Baraka Obama tangu aingie Madarakani, nafikiri huyu Jamaa sio intelligent sana kama wengi wetu tunavyodhania.

Nasema hivi kwa maana anafanya mambo ambayo mtu au Raisi intelligent hawezi kuyafanya aidha atakuwa na wasaidizi ambao wanamdanganya kwa manufaa yao (kumtumia) na kama ni hivyo Basi atakuwa kilaza kwani alipaswa ajue anachoshauriwa.

A
naongea kuhusu kuiwekea Urusi vikwazo vya Kiuchumi wakati kila Mtaalamu wa maswala ya Uchumi wa Kidunia anajua kwamba hilo haliwezekani, wakati huo huo Makampuni makubwa ya Ulaya na Marekani yanasainiana Mikataba minono na Serikali ya Urusi,
matokeo yake Putini anamcheka na jamaa kubaki kuonekana kituko tu.

Aliongelea kuhusu kuifunga Guantanamo mpaka leo hakuna kilichofanyika, alisema atarudisha majeshi ya Marekani ktk Iraki lkn hakuna kilichofanyika, Afganistani hivyo hivyo, kwa kifupi hajafanya hata kimoja alichosema/ alichoahidi kwamba angefanya... Mara 100 Joji Bushi alisema kwamba akiingia atamtoa [SIZE=3]Sadamu Huseni na kweli akafanya kama ilikuwa sawa ama si sawa lkn ali[SIZE=3]simam[SIZE=3]ia alichoaahidi!

[/SIZE]A[/SIZE]likwenda kwenye Msiba AK wa Mandela anapiga picha huku akikenua meno wakati ni sehemu ya huzuni, yaani utafikiri alikuwa kwenye Pati, hakuna raisi Intelligent anayeweza kufanya upuuzi kama huo...Ile picha iliwenda Dunia nzima na ilistaajabisha watu wengi sana...[/SIZE]

Mniombe Natalia msamaha.I knew I knew I knew I knew
 
Obama care Yaani hii ni signature legacy yake .website I million dollar haifanyi Kazi 15 changes sheria gani hii.Usa 300 million people Yaani yeye wakisigh million 6 amefanikiwa.number hazieleweki.unajua USA health bill very expensive anacheza na afya za watu .
 
mkuu kwa umri wa miaka 95 ya late MADIBA ilikua ni unafki kwa birthday yake ya miaka 95 kumtakia longlife wakati kimwili na kiakili alikua amechoka sana.

Maana yangu kwa kipindi choote alichougua na kwa umri wake ule sidhani kama hata wanae na wajukuu walihuzunika sana.

Hakukua na umuhimu wa ku-act hudhuni wakati ilikua ni furaha kwa ULIMWENGU kuzizima na karibu mataifa yoote makubwa DUNIANI walikutana kwa MTU MWEUSI aliepata kuheshimika sana.

Nadhani OBAMA ni most intelligent than BUSH.

Obama democratic washaanza kumkimbia .MSNBC ratings on the floor wewe chezea USA wewe .watu sio wavimilivu nchi hii wewe suburia Nov kivumbi Uchaguzi .Obama is an embarrassment Yaani
 
CCM wametekeleza mangapi walioahidi? si bora huyu na life insurance yake inayokaribia kukamilika

Unaona unashabikia usiyoyajua.Life insurance or health ?Usa Ina watu 300 .Million 6 wamesigh in hawajalipa unalo hilo
 
Wabongo bana..hayo yote aliyoyasema ameyatekeleza na pia kufufua uchumi sasa hivi un employment rate ni 5% , marekani imerudisha heshima na kuaminika duniani, ameleta health policy nzuri nk..sisi wbongo mboyoyo mingi inataka mtu wa miaka 95 kafa watu walie wagare gare km mtu wa miaka 18
Approval rating 31 percent .www.Gallup.com .
 
Back
Top Bottom