Nahisi ananidanganya msaada jaman

Nahisi ananidanganya msaada jaman

Huna mkataba naye, lolote linaweza kutokea na inabidi wewe ukubaliane na matokeo. Angekuwa mke wako hapo ungepiga kelele hata mpaka kwa Baba Paroko, ingekuwa haki yako. Lakini hapo mzee POTEZEA.
 
Kuna jamaa yangu anaendeshwa na falsafa ya 'akifaulu atasumbua" akmaansha kuwa akienda chuo huwa wanabadilika.
 
Fanya yko tu.......mpaka umehisi kuwa unadanganywa basi 98.9% unadanganywa kweli,maana huwez sema hivyo kama hakuna mabadiliko.
Ushaur wangu kwako,yakupasa uwe bize na shughuli zako......utampata atakayekupenda.Huyo bint ameshaonja mibolo mingine utapata nae shida tu.
 
Huna mkataba naye, lolote linaweza kutokea na inabidi wewe ukubaliane na matokeo. Angekuwa mke wako hapo ungepiga kelele hata mpaka kwa Baba Paroko, ingekuwa haki yako. Lakini hapo mzee POTEZEA.

Haya mkuu nimekuelewa nachanganua mawazo yako
 
Fanya yko tu.......mpaka umehisi kuwa unadanganywa basi 98.9% unadanganywa kweli,maana huwez sema hivyo kama hakuna mabadiliko.
Ushaur wangu kwako,yakupasa uwe bize na shughuli zako......utampata atakayekupenda.Huyo bint ameshaonja mibolo mingine utapata nae shida tu.

Nafanya yangu miss strong.hapo kwenye mibolo nimeshtuka kdogo
 
Kaka sihukumu ila jaribu kuwa na plan B fasta. Huyo binti kuna kila dalili amepata mtu mwingine kwahiyo anakuona wewe gozi gozi.

Unafanya kazi? Fanya kwa juhudi. Kama unasoma soma kwa juhudi ufanikiwe mbayaaa! Utamuona anarudi.
 
Endelea kumsahau kama ulivyo wasahau waleeeeee wa kumbolela!!!!
 
Kaka sihukumu ila jaribu kuwa na plan B fasta. Huyo binti kuna kila dalili amepata mtu mwingine kwahiyo anakuona wewe gozi gozi.

Unafanya kazi? Fanya kwa juhudi. Kama unasoma soma kwa juhudi ufanikiwe mbayaaa! Utamuona anarudi.

Thanx mkuu ngoja nihamishie hasira zangu kwenye maisha wanawake pasua kichwa sana
 
nachelea kusema atakua
amehadaika na mwingine huko
kashakutana na kina mangi ndio maana
kibri imeanza,kama vp jikatae,ya nn kujipa
presure ilhali mmejuana ukubwani!!
 
Mkuu samahani kidogo, hapa chini kuna link inaonyesha kuna kipindi ulikuwa unalalamika sana dem wako anachukuliwa na lecturer, vipi iliishiaje? Cheki hapa chini. Vipi ndo huyo huyo tena leo unadai anakudanganya au huyo ni mwingine

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/496913-lecture-anamtaka-mpenz-wangu.html

https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-mfumo-huu-wadada-nawanyoshea-mikono.html

Mkuu OIL CHAFU haswa ndo huyo huyo mambo yalianza kpnd kile nikawa mvumilivu
 
habari ndugu zangu wa mmu,mimi ni kijana nina mpenzi wangu wa kike ambaye nampenda sana nimeanza kuwa na mahusiano naye toka yy akiwa form 3 na huku mimi nikiwa namaliza form six(2008).kwa sasa tuna miaka mitano katika mapenz yetu.tatizo ni kwamba sasa amebadilika amekuwa na kiburi na mwepesi wa kulaumu .ameanza tabia hyo mwaka jana alipoingia chuo huko moshi,nikimwambia kitu anasema me na wivu sana sijui simwamini ,siku hizi nikimpigia simu usiku anadai amechoka mara anazima simu usiku hapatikani .nimemwambia abadilike lakin sijaona any change.kiukwel nampenda na nimemzoea sana kila nikijaribu kumwacha nikifikiria nilikotoka naye naumia. msaada wa maoni yenu plz

NB mimi nishamalza chuo na ninafanya kazi na matumiz madogo madogo nampa

Huna chako hapo na mbaya zaidi haupo tena akilini mwake. Usihuzunike sana coz ni sehemu ya mapito ktk maisha ambayo kila binadamu hupitia

Tafuta mwingine acha kulalama
 
Back
Top Bottom