mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,426
- Thread starter
- #61
Ogopa sana mwanamke apoku-win atakutesa sana, fikiria vizuri then utoe uamuzi usijali atajisikiaje ila jail wewe utajisikiaje
Unaona mkuu maamuz magumu nshatoa tayar
Ogopa sana mwanamke apoku-win atakutesa sana, fikiria vizuri then utoe uamuzi usijali atajisikiaje ila jail wewe utajisikiaje
Hana chake hapo
Wanawake sio pasua kichwa bwana sema mnashindwa kuwa control
Akufukuzaye hakwambii toka!!Hapo kuna mawili huyo aidha ni wako au upo na wenzako!!
binamu kumbe ulimegewa na lecture halaf bado unavumilia tu? Piga chini!
daah sory ...am so curious...........Sahz nimejfanya ---- kumpgia cm nilichomwulza na alichonijbu daah
daah sory ...am so curious...........
Mkuu samahani kidogo, hapa chini kuna link inaonyesha kuna kipindi ulikuwa unalalamika sana dem wako anachukuliwa na lecturer, vipi iliishiaje? Cheki hapa chini. Vipi ndo huyo huyo tena leo unadai anakudanganya au huyo ni mwingine
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/496913-lecture-anamtaka-mpenz-wangu.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-mfumo-huu-wadada-nawanyoshea-mikono.html
Thanx MARIA nifurah kuona naww umeona alivyo mjinga
hahahaha maria pia tafuteni fimbo mchapaneYaa ni ujinga coz hawa ndo wanasababisha wote tuoneksne walewale
Yaa ni ujinga coz hawa ndo wanasababisha wote tuoneksne walewale
Amekujibu nn tena!!?Sahz nimejfanya ---- kumpgia cm nilichomwulza na alichonijbu daah
Thanx daud but hyo 3 nilienjoy sana ila hii 2 duu
Kwel maria yaan nshaanza kuwachukia galz daah
ulitakiwa kusoma alama za nyakati
Hahahaa haaaa
Serious kaniboa kishenzi
Wengine tulipokuwa chuo tulikuwa hat huthubutu kuwa na mtu unamwaza mtu wako tu, halafu mtu mwenyewe anagonga ht hakujali
No usichukie bana coz kumbuka wapo waliotulia nao wanapata wanaume vicheche.
Cha msingi muombe Mungu akuondolee hyo roho ya uchungu na akupe atakaekupenda kwa dhati, somtym unaweza kua una epusha wa kitu who knws!!!?
je yeye anafikiria huko mlikotoka kama wewe.......
haya mapenzi haya