Nahisi ananidanganya msaada jaman

Nahisi ananidanganya msaada jaman

habari ndugu zangu wa mmu,mimi ni kijana nina mpenzi wangu wa kike ambaye nampenda sana nimeanza kuwa na mahusiano naye toka yy akiwa form 3 na huku mimi nikiwa namaliza form six(2008).kwa sasa tuna miaka mitano katika mapenz yetu.tatizo ni kwamba sasa amebadilika amekuwa na kiburi na mwepesi wa kulaumu .ameanza tabia hyo mwaka jana alipoingia chuo huko moshi,nikimwambia kitu anasema me na wivu sana sijui simwamini ,siku hizi nikimpigia simu usiku anadai amechoka mara anazima simu usiku hapatikani .nimemwambia abadilike lakin sijaona any change.kiukwel nampenda na nimemzoea sana kila nikijaribu kumwacha nikifikiria nilikotoka naye naumia. msaada wa maoni yenu plz

NB mimi nishamalza chuo na ninafanya kazi na matumiz madogo madogo nampa
Update
Now nimeachana naye rasmi baada ya kuconfirm hanipendi ila hajasema reason za kutonipenda kumbe nilikuwa najpendekeza kwake.

Sepa zako, achana na hicho kimbwenelehi
 
Hapo bado hajapata digirii. Ungejivutavuta nae hadi apate digirii sasa hivi ungekuwa Mirembe unahudumiwa. Chezea digirii ya mwanamke wewe!
 
habari ndugu zangu wa
mmu,mimi ni kijana nina mpenzi wangu wa kike ambaye nampenda sana
nimeanza kuwa na mahusiano naye toka yy akiwa form 3 na huku mimi nikiwa
namaliza form six(2008).kwa sasa tuna miaka mitano katika mapenz
yetu.tatizo ni kwamba sasa amebadilika amekuwa na kiburi na mwepesi wa
kulaumu .ameanza tabia hyo mwaka jana alipoingia chuo huko
moshi,nikimwambia kitu anasema me na wivu sana sijui simwamini ,siku
hizi nikimpigia simu usiku anadai amechoka mara anazima simu usiku
hapatikani .nimemwambia abadilike lakin sijaona any change.kiukwel
nampenda na nimemzoea sana kila nikijaribu kumwacha nikifikiria
nilikotoka naye naumia. msaada wa maoni yenu plz

NB mimi nishamalza chuo na ninafanya kazi na matumiz madogo madogo
nampa
Update
Now nimeachana naye rasmi baada ya kuconfirm hanipendi ila hajasema
reason za kutonipenda kumbe nilikuwa najpendekeza kwake.

yan kawaida sana..akifika chuo lazima apate mwingine...atakukumbuka tu ipo cku.kama hakuna baya kubwa ulilomfanyia..nakuombea by the tym anageuka nyuma kukurudia uwe umepata wa kumreplace ili ageuke jiwe
 
amina dadaangu mungu yu mwema ntapata
 
Back
Top Bottom