Nahisi ananidanganya msaada jaman

Nahisi ananidanganya msaada jaman

nilishawah mfanyia hvo mkuu nilikaa nusu cku bila kumtafuta jioni aliniomba msamaha nakusema hata rudia
nusu siku kaona muda mrefu??? Nimegundua unamwendekeza sana ndio maana kaona amekushika vilivyo... Amekuzoea sana kiasi kwamba anakuona wa kawaida sana,hajaona thamani yako mpaka pale atakapokukosa.cha msingi play it cool,usimwaze sana ukaumiza roho yako,keep youself busy.jiwekee wazi kwamba ni fifty fifty chance ya kuwa nae.yote yanawezekana jipe muda tu..
 
Akufukuzaye hakwambii toka!!Hapo kuna mawili huyo aidha ni wako au upo na wenzako!!
 
habari ndugu zangu wa mmu,mimi ni kijana nina mpenzi wangu wa kike ambaye nampenda sana nimeanza kuwa na mahusiano naye toka yy akiwa form 3 na huku mimi nikiwa namaliza form six(2008).kwa sasa tuna miaka mitano katika mapenz yetu.tatizo ni kwamba sasa amebadilika amekuwa na kiburi na mwepesi wa kulaumu .ameanza tabia hyo mwaka jana alipoingia chuo huko moshi,nikimwambia kitu anasema me na wivu sana sijui simwamini ,siku hizi nikimpigia simu usiku anadai amechoka mara anazima simu usiku hapatikani .nimemwambia abadilike lakin sijaona any change.kiukwel nampenda na nimemzoea sana kila nikijaribu kumwacha nikifikiria nilikotoka naye naumia. msaada wa maoni yenu plz

NB mimi nishamalza chuo na ninafanya kazi na matumiz madogo madogo nampa

mpende akupendaye asiyekupenda achana naye.
 
Yaah alibadilika kama 2 wks hv then mambo yakajirudia mkuu

Ogopa sana mwanamke apoku-win atakutesa sana, fikiria vizuri then utoe uamuzi usijali atajisikiaje ila jail wewe utajisikiaje
 
miaka mitano? mmevunja record. kwangu mimi sijawah kufikisha hvyo.
 
in short huyo kashapata mtu na anagongwa.
Cha kufanya mpotezee ucmtafute kabisaaaa.piga Kimyaaa
Yaani ww kaa kimya fanya yako km atakutafuta poa ila ww ucmtafute kabisa,ucrudi nyuma, yaani akipiga cm pokea na jibu anachokuuliza tu, ww usianzishe chochote.

Huu ujinga na inaboa sn, vise versa is true.
Hayo maumivu yataisha tu ni suala la muda.
Utapata mwingine ila icwe reference coz umeshaumizwa isababishe uumize wasio na hatia.
 
habari ndugu zangu wa mmu,mimi ni kijana nina mpenzi wangu wa kike ambaye nampenda sana nimeanza kuwa na mahusiano naye toka yy akiwa form 3 na huku mimi nikiwa namaliza form six(2008).kwa sasa tuna miaka mitano katika mapenz yetu.tatizo ni kwamba sasa amebadilika amekuwa na kiburi na mwepesi wa kulaumu .ameanza tabia hyo mwaka jana alipoingia chuo huko moshi,nikimwambia kitu anasema me na wivu sana sijui simwamini ,siku hizi nikimpigia simu usiku anadai amechoka mara anazima simu usiku hapatikani .nimemwambia abadilike lakin sijaona any change.kiukwel nampenda na nimemzoea sana kila nikijaribu kumwacha nikifikiria nilikotoka naye naumia. msaada wa maoni yenu plz

NB mimi nishamalza chuo na ninafanya kazi na matumiz madogo madogo nampa
Pole sana kijana, wakati wenzako wanampa matumizi makubwa makubwa wewe unatamba hapa kumpa madogo madogo, unadhani ataendelea kukung'ang'ania wewe? Akili kumkichwa!
 
Mkuu her pengo kuliko jino bovu hapo huna lako kuna mtu anafaid kiulain piga moy konde tafuta maish kama ni wako atarud tu...
 
kabla hujatumbukia mtoni ni busara kupma wingi wa maji...namaanisha fahamu lengo lake halaf chukua hatua.
 
Hakuna kulalama. Tafuta atakayekupa raha haya mapenz ya siku hz yamekua yakiboya sana. Hata miaka 30 hujafiksha unaanza teswa na mapenzi. Come on ma cousin! Piga kazi walet iwe nene kama ya fisadi achana na mapenz kizungumkuti

Thanx again big broda deo
 
Pole sana kijana, wakati wenzako wanampa matumizi makubwa makubwa wewe unatamba hapa kumpa madogo madogo, unadhani ataendelea kukung'ang'ania wewe? Akili kumkichwa!

Angetaka makubwa nisingeshndwa kumpa mkuu kaamua tu kubadili mazngra
 
in short huyo kashapata mtu na anagongwa.
Cha kufanya mpotezee ucmtafute kabisaaaa.piga Kimyaaa
Yaani ww kaa kimya fanya yako km atakutafuta poa ila ww ucmtafute kabisa,ucrudi nyuma, yaani akipiga cm pokea na jibu anachokuuliza tu, ww usianzishe chochote.

Huu ujinga na inaboa sn, vise versa is true.
Hayo maumivu yataisha tu ni suala la muda.
Utapata mwingine ila icwe reference coz umeshaumizwa isababishe uumize wasio na hatia.

Thanx MARIA nifurah kuona naww umeona alivyo mjinga
 
nusu siku kaona muda mrefu??? Nimegundua unamwendekeza sana ndio maana kaona amekushika vilivyo... Amekuzoea sana kiasi kwamba anakuona wa kawaida sana,hajaona thamani yako mpaka pale atakapokukosa.cha msingi play it cool,usimwaze sana ukaumiza roho yako,keep youself busy.jiwekee wazi kwamba ni fifty fifty chance ya kuwa nae.yote yanawezekana jipe muda tu..

Tyta umenena mkuu now ni kumchunia mwanzo mwisho nafuta kila kumbukumbu yake kwangu e mungu nisaidie
 
Back
Top Bottom