sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,634
- 11,693
Mikumi nyani wanakula mahindi..?Kwahiyo kwa akili yako wewe, Nyani ataanza kazi ya ukulima!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikumi nyani wanakula mahindi..?Kwahiyo kwa akili yako wewe, Nyani ataanza kazi ya ukulima!
Hapana, wanalima.
Mkuu kwa changio hili wewe kichwani ni empty kabisa... ina maana hujaelewa hapo kuwa ADUI YAKO ANAWEZA KUWA NDIYE ANAYEKUSAIDIA KUFANIKIWA KWAKO??Mkulima alikuwa na faida gani kwa nyani kama mahindi yake walikuwa wanafukuzwa wasile?
Nape amechemka.
Wewe ndo umechemka hukuelewa,sasa hicho ni kiswahili umechemka umombo was lisu kweli umelewa!Mkulima alikuwa na faida gani kwa nyani kama mahindi yake walikuwa wanafukuzwa wasile?
Nape amechemka.
Kweli akili yako ndogo, na haujawahi kuhamia shamba la mahindi. Mkulima analima heka tatu, nyani lazima wale, anachofanya ni kuwafukuza wasile shamba zima. Akili yako ndogo huwezi kuelewa kitu.Mkulima alikuwa na faida gani kwa nyani kama mahindi yake walikuwa wanafukuzwa wasile?
Nape amechemka.
Mkuu kwa changio hili wewe kichwani ni empty kabisa... ina maana hujaelewa hapo kuwa ADUI YAKO ANAWEZA KUWA NDIYE ANAYEKUSAIDIA KUFANIKIWA KWAKO??
Sent using Jamii Forums mobile app