Ndio
Ndioulichagua free shipping?
Ndioulichagua free shipping?
Chukua tips hii,unavyofungua bidhaa make sure una record process nzima ya ufunguaji..itakusaidia kweny disputeMshukuru sana MUNGU, Mi juzi juzi tu hapa, walinipiga 130K, nlinunua bidhaa ikaja mbovu, kurudisha kimoja, kila nkiwauliza wana nambia swala langu linashughulikiwa tena hadi wanakua wakari, ipo siku yako we endelea tu.
Kwanini ulichagua free shipping?Niliagiza mzgo wangu free shipping toka mwezi wa tisa hadi sasa
Naaam hii ndo shida ya wabongo wengi..hawasomi description kabisaaaPossibly wewe mwenyewe ndio tatizo , inawezekana hukusoma vizuri maelezo. Hili tatizo lipo kwa watz wengi. Wepesi kuhukumu na kulaumu wengine Kwa makosa yao wenyewe.
Kitu kidogo sana ki circuit flan cha dola mbili uje ulipe sijui kije na nn si hasara hio
Tambua kuwa wauzaji toka china pia wapo ebay.ALIEXPRESS NAVUNJA NAO MKATABA
Hio free shipping inaweza chukua hata mwaka ama usipate kabisa. Kuna mzigo wangu pia wa mwezi wa 9 upo south Africa bado hata Bongo haujakuja. Kama ni kitu muhimu Lipia tu standard shipping.Kitu kidogo sana ki circuit flan cha dola mbili uje ulipe sijui kije na nn si hasara hio
Brand ganiMimi niacha zamani sana. Niliagiza Bluetooth speaker wakaniletea used
Sasa pima hasara ya miez uliyokaa na ungelipa standard shipping tu ya Dola 2 au 3 ipi hasara?Kitu kidogo sana ki circuit flan cha dola mbili uje ulipe sijui kije na nn si hasara hio
Ulinunua speaker gani? Ni official store?Mimi niacha zamani sana. Niliagiza Bluetooth speaker wakaniletea used
Naomba kufahamu namna kupokea mzigoNishanunua vitu vingi kama nguo, dawa za mafua yaani spray , saa za mkononi, cover za sim, mafuta ya nywele nk sijapata tatizo mpaka sasa
100%Pole sana mdau. kama wadau wengine walivyokushauri cha muhimu zingatia haya
binafasi nanunua na kuuza alibaba miaka mingi tu sijapata shida kabisa.pole sana
- Soma reviews za watu walionunua vitu kwa huyo seller uone wana mrate vipi, kama ana reviews chache akili kichwani (ingawa anaweza kuwa ndo ameanza karibuni, ila the rule of thumb ni kwamba reviews chache stay away)
- Make sure wakati una search kitu unataka nunua kushoto kwako chagua suppliers ambao ni verified na wanatoa trade assurance hawa ikitokea cha kutokea aidha watakuletea mzigo mwingine ama hela itarudishwa wewe utachagua (nimejaribu kuweka screen shot hapa naona imegoma)
- wakati una search bidhaa unayotaka hakikisha pale palipoandikwa sort by unachagua order maana yake ni kwamba watakuletea kwanza suppliers ambao wameuza hiyo bidhaa unayotaka kwa wingi sana ukilinganisha na wengine -yaani bidhaa zao zina ubora/hawana longo longo ndo maana wameweza kuuza kwa wingi ukilinganisha na wengine
- kama ni supplier mpya kabisa ni vizuri ukaomba akutumie sample ya bidhaa unayotaka kabla hujaweka hela kununua mzigo mkubwa
- ukipata ishu kama hiyo report kwa alibaba/aliexpress mapema waweze mblock huyo seller asiwaumize wengine
Dah.. Umenitisha wakati nlitaka kuagiza simu toka south korea kupitia EbayHuwa kitu chochote cha maana sinunui Aliexpress na Ebay pia kuwa makini wauzaji wa aliexpress na ebay wanaweza kuwa hao hao. Make sure seller kauza maelfu ya Bidhaa na ana rating 90+ ili kujua kama sio tapeli.
Angalia na seller mkuu, kama huwezi link simu humu wazoefu wengi watakusaidiaDah.. Umenitisha wakati nlitaka kuagiza simu toka south korea kupitia Ebay
Nijuavyo mimi usiporidhika na bidhaa wanakupa option 2Nikawaida yangu kuagiza bidhaa mtandaoni na nimeisha pokea order zaidi ya tatu ndani ya muda sahihi Ila hii order ya mwisho ndo ilikuwa matata nimeagiza mzigo wangu LCD Display ya iPhone 6 plus muda umefika nimepokea mzigo wangu kuja kuangalia nakutana na LCD ambayo inaonekana ni used alafu zile lock zake za pembeni zimekatwa Tena zimekatwa kifujo fujo mbaya zaidi kitu chenyewe hakifanyi kazi kiufupi ni dead.
Nime OPEN DISPUTE nikaelezea kila kitu baadae AliExpress wananiambia nirudishe bidhaa ili nirudishiwe pesa zangu na ninavyojua ningumu Posta yetu kutuma vitu nje hasa vitu Kama hivi.
SASA ALIEXPRESS NAVUNJA NAO MKATABA
Kwa nchi za huku ulaya wanapokea DHL yaani delivery inakuja mpaka mlangoni pako wanagonga wanakupatia mzigo, usipokuepo hme mzigo unapelekwa posta iliokaribu nayo unaachowa kikaratasi kukujuulisha kuwa uwende posta hio kuchukua mzigo wakoNaomba kufahamu namna kupokea mzigo
unapokealea posta au DHL?
Hata Tanzania unaletewa hadi mlangoni, ni vile tu ukinunua vitu online unachagua njia ya Bei rahisi. Tumia Aramex, Dhl etc utaletewa kwako, atleast uwe eneo linafikika kirahisi.Kwa nchi za huku ulaya wanapokea DHL yaani delivery inakuja mpaka mlangoni pako wanagonga wanakupatia mzigo, usipokuepo hme mzigo unapelekwa posta iliokaribu nayo unaachowa kikaratasi kukujuulisha kuwa uwende posta hio kuchukua mzigo wako
Kwa nchi za huko kwetu nafikiri wanakutumia mzigo wako uwende kuupokea posta kwa sababu sisi nchi yetu haina residents address so lazima tuende posta kufuata mzigo, ila kabla ya kununua mzigo nenda posta kwanza kaulizie wakupatie address yao hao posta, thn hio address utaiandika kwenye kwenye sehem ya mzigo wako utakapoupokea yaani ndaani ya huo mtandao wa AliExpress
Yeah inawezekana, mm nimeondoka huko muda tena, kama huduma hio ya kuletewa mpaka mlangoni inafanya kazi huko basi hio poa sanaHata Tanzania unaletewa hadi mlangoni, ni vile tu ukinunua vitu online unachagua njia ya Bei rahisi. Tumia Aramex, Dhl etc utaletewa kwako, atleast uwe eneo linafikika kirahisi.
Mmh ni supplier gani huyo?Nilipewa option moja tu ya kurudisha mzigo ndo nirudishiwe pesa zangu