Nahama Aliexpress naenda Ebay

Nahama Aliexpress naenda Ebay

Nikawaida yangu kuagiza bidhaa mtandaoni na nimeisha pokea order zaidi ya tatu ndani ya muda sahihi Ila hii order ya mwisho ndo ilikuwa matata nimeagiza mzigo wangu LCD Display ya iPhone 6 plus muda umefika nimepokea mzigo wangu kuja kuangalia nakutana na LCD ambayo inaonekana ni used alafu zile lock zake za pembeni zimekatwa Tena zimekatwa kifujo fujo mbaya zaidi kitu chenyewe hakifanyi kazi kiufupi ni dead.

Nime OPEN DISPUTE nikaelezea kila kitu baadae AliExpress wananiambia nirudishe bidhaa ili nirudishiwe pesa zangu na ninavyojua ningumu Posta yetu kutuma vitu nje hasa vitu Kama hivi.

SASA ALIEXPRESS NAVUNJA NAO MKATABA
Kwanini hukuomba refund?
 
Huwa kitu chochote cha maana sinunui Aliexpress na Ebay pia kuwa makini wauzaji wa aliexpress na ebay wanaweza kuwa hao hao. Make sure seller kauza maelfu ya Bidhaa na ana rating 90+ ili kujua kama sio tapeli.
Hivi kumbe na AliExpress kuna matapeli
Nasita kuagiza hii
 

Attachments

  • Screenshot_2022-10-21-19-54-14-610_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
    Screenshot_2022-10-21-19-54-14-610_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
    181.3 KB · Views: 18
AliExpress is best nanunua Sana vitu .Cha msingi kuwa makini na bidhaa kama simu. Bidhaa nilizoagiza zimekuja kama nilivoziona...pia soma vizuri description ya bidhaa na pia REVIEW NA COMMNETS ZA WANUNUZI walionunua awali na kuandika feedback zao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom