Nafwaaa!!!

Nafwaaa!!!

ni wakwake sasa je? mbona umekuwa mkali........... wakwako nini kibooo ndoa inavunjika leo
Teh teh..Mi simjui bana..Nilitaka kumwambia tu mleta mada,mambo ya kuleta picha ya demu wako humu sio..Wanaweza kutokea watu wakakupa stress..
 
kafanya kosa kubwa sana unapostije picha ya mtu huku jf y? ila mi nimemuona km ni mvulana wa sekondary ya kata ikanibidi nicheke tu maana msichana wenyewe wa kawaida sana ha;lafu najiuliza sababu za yeye kupost hapa jei f nikaona nipuuze sikutaka ligi nae maana nina hakika lingekuwa la kitoto.
 
Ngoja watokee watu waseme wamekula hadi goti hapo ndo adate..Ila kabinti sio kabaya..Ukiachilia hizo katani kichwani kanaonekana kapo natural
 
hahaha shauri yake mi nahama sifungui tena ngoja nielekee kwenye jukwaa la ujasiria mali naweza pata kakitu ka maana huko
 
mrembo ila ngoja waje wakosoaji hasa wanawake wenye mijisura mizito na wanaume wanaodate sura za goti watakosoaaaaa
 
Avue hizo nywele bandia na ankanawe uso ndiyo tumtathmini manake isije ikawa hata hayo makali ni ya kichina.
 
Mimi nimeona vingi tu zaidi ya jicho hapo
548906024ffa041e16d35e0f1e0fcd0e.jpg
kama Hivi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom