Mandela Kato
Member
- Sep 11, 2018
- 14
- 4
Habari wana JF...
Kama ninavyotambulika, ni Mandela Kato, Mwalimu mbobezi katika masomo ya sanaa hasa somo la KIINGEREZA, mawasiliano na kimasomo;
Nachukua fursa hii kukukaribisha wewe utakayekuwa na uhitaji wa Huduma hii aidha wewe mwenyewe au mwanao/wanao,..tunaweza kufanya makubaliano ya kujifunza online (kwa njia ya mtandao) au kwa njia ya kawaida;
Zaidi ikiwa kuna wanafunzi wanaosoma masomo Saba (7) O'level (arts pure) kuna huduma nzuri kwaajili yao, Ninakukaribisha Sana
Namba yangu ni 0763126091(Watsapp na kawaida;text and calls)....
Elimu yangu Elimu yako, karibu tuwasiliane vizuri kwaajili ya Elimu yetu