Kwani hapo unapofundisha kwa sasa kuna nini?
Hebu piga namba hii ujitambulishe 0784318459. Pia eleza shida yako
kuna walimu ambao walikuwa wanasoma chuoni. Wamerudi imekuwa shda sn. Kumbuka kuwa mm ni 6 leaver.
Shomy, share na sisi basi ushauri ulioupata baada ya kupiga simu.
Nina uwezo mkubwa na wa hali ya juu wa kufundisha b.maths kwa o.level. Natafuta kaz ya kufundisha popote. Nimeshafundisha kwa miaka 2 na kupata mafanikio makubwa hasa NECTA 2010.
Mkanda yupo wapi jamani?alinisaidia sana Chemistry.Jaribu kucheck na Mkandawile
Jaribu kucheck na Mkandawile
Mimi pia nakuomba nipigie kwa namba hii uwe na 0654057730 nikupe dili. hili hata kesho nakupeleka Shule husika.
kwa nin hutaki kwenda chuon au ulidunda?
Mkanda yupo wapi jamani?alinisaidia sana Chemistry.