Nina uwezo mkubwa na wa hali ya juu wa kufundisha b.maths kwa o.level. Natafuta kaz ya kufundisha popote. Nimeshafundisha kwa miaka 2 na kupata mafanikio makubwa hasa NECTA 2010. A= 1. B= 13, C= 25, D= 49 F=144. Nafac ya somo ilikuwa 16/200 kimkoa 310/3362 kitaifa.