NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

Hata mimi nilikua kama wewe zamani. Sasa umekaa huko unabishana na mtu anatumia iphone six sijui seven. Unyama upo huku mbele huku. Simu za samsung zikianza kuchoka calibration inavyosumbua vile utasema unatumia zege kuandika kumbe ni simu. Sogea sogea kidogo kwenye 13 au 14.
 
Kitu walichofanya iphone ni kulitoa tundu ili kuwakamua pesa watumiaji wao kwa kuwalazimisha wanunue earphone zao zisizo na waya zinazouzwa kuanzia laki 2 na inabidi uzichaji kila siku
Kumbe tatizo lako ni uchumi
🤣🤣🤣🤣
Basi acha makasiriko


Hata port ya charge unaweza tumia kwa earphone kama hela ya pods huna
 
Hapana, acha asogee tu kwenye S21 Ultra na S22 Ultra aenjoy matunda ya Eden..believe me, hatotamani hata kuingia huko kwenye iPhone
 

simu latest hata infinix haisumbui.
 
Mwana xiaomi mwenzangu ilibidi tuundeleze uzi wetu kakavipi kuhusu mi 11 lite 5g mzee naiota sana hii simu au version ipi ya china iko equivalent na hio manake kuweka rom mie nanga
Xiaomi Mi 11 Lite 5G ipo poa sana, nunua hiyo simu hutojutia kuanzia design, camera, display, kila kitu.
Kama ulikuwa unataka Chinese ROM smartphone nyingine ambayo ni level moja na Mi 11 Lite 5G, tafuta hii "Xiaomi Civi" ina rangi tatu bluu, nyeusi na pinki ila hii rangi ya pinki ni ya kidada, chukua black naona ndo imekaa fresh (mtazamo wangu tu) Hii haina card slot kwa hiyo huwezi kutumia memory card, minimum RAM ni 8GB na minimum storage ni 128GB. Ukipata 12GB RAM + 256GB ROM itakuwa vyema tena Aliexpress unapata kuanzia 690,000TSh. Hii ya (12GB+256GB) unaipata kwa TSh 750,000/= hukohuko AliExpress na SoC yake ni nzuri sana Qualcomm Snapdragon 778G. Kafuatilie reviews zake, usipoipenda baki hukohuko Mi 11 Lite, tofauti yake ni ndogo sana.
* Jina lake ni fupi hivyohivyo "Xiaomi Civi" basi, hii simu haina Global Version yake, ni Chinese ROM na ni 5G pia.
 
Jam
Jamaa umepasua jipu kabisa.

Jambo lingine ni kuwa
IPHONE humilikiwa na visichana vingi ambavyo havina kazi wala hela.

Hii ni tofauti na Android🤣🤣🤣
 
Jam

Jamaa umepasua jipu kabisa.

Jambo lingine ni kuwa
IPHONE humilikiwa na visichana vingi ambavyo havina kazi wala hela.

Hii ni tofauti na Android

Iphone 13 pro max inakaa nachaji kushinda samsung s22 utlra pia iphone 13 pro max ina shoot video kazi kuzidi samsung s22 utlra pia ina muonekano mzuri wa app kuliko samsung s22 utlra pia ina security kali kinoma kuliko samsung s22 utlra iphone 13 pro max itapokea update Mpaka miaka 6 au 8 samsung s22 utlra ikienda ni miaka 4 so hapo umeshajua tunatumia sio kwa mkumbo pia sio simu ya laki tatu hii so mpe saluti ukimuona nayo mtu mkononi lamda kama unawaongelea kwanzia xs max kushuka chini shekhe ist nayo gari ila wawezi kutamba mbele ya discovery
 
Hizi ni trivial things mleta mada ametoa vitu konki mno.
 
S22 Ultra inarekodi slow motion katika 960fps, kamera yake ya nyuma ina 10× optical zoom, ina fingerprint scanner, hiyo iPhone haina, S22 Ultra inatumia bluetooth version ya kisasa zaidi (v5.2), inatumia faster memory type LPDDR5 kuliko ya iPhone, ina peak brightness kubwa 20% zaidi ya hiyo iPhone 13 Pro Max, inakaa laini 2, ina display nzuri kuliko ya hiyo iPhone, ina AnTuTu score kubwa kuliko hiyo iPhone yako, ina improvements kwenye design hiyo iPhone haijaimprove chochote kwenye design, nikama 12 Pro Max tu, Samsung inakuja na S Pen na haina limitation za ovyo kama za iPhone 13 Pro Max.
Na bado Februari 1, inakuja Samsung Galaxy S23 Ultra
 

Shekhe nimeshindwa kupima uwezo wako wakufikiri
kabisa daaah mungu wangu . Shekhe kwanza ujue dunia hatupo sawa kila mtu ana level yake yamaisha ndomaana kuna wewe unakula kwa mama ntilie chini ya mti na wangine wanakula kwenye restaurant za post . pia kuna wewe unaenunua flagship smartphone kuna wadau wanaweka oda flaship smartphone zilizolebwa na gold tupu kiufupi hi dunia ni hela yako kila mtu anafanya anacho kiweza ndomaana kuna wewe wa kariakoo na kuna wangine wa mlimani city napia kuna wa dubai na paris so hatwezi kufanana kingine mfano kwenye ndege kuna first class , business na economic hapo ni hela yako itaamua unakaa wapi ila wote mpo ndege moja na mnafika mda mmoja ila nauli ya first class inaingia mara tano ya economic so iphone imetengenezwa kwajili ya watu wa uchumi wa kati kwenda juu huku chini imewaachia tenco na wengine ukitaa kutumia iphone basi lazima uridhike na masharti yao kwanza kama kwenye magari tu ist mafuta ya 10000 unaweza ukalala nayo ila Range Rover Velar sio mchezo unaweza kuweka mafuta 100000 nausifike kwenye safari yako pia ist spare zake mpaka mangi anazo na bei chee tu ila Range Rover Velar spare unaweza kuzurura mpaka basi town kwaiyo hapo tuseme mwenye Toyota ist ni mjanjaa
 
Hawana lolote, hao jamaa hawasikilizi wateja wanataka nini mpaka EU ilipoamua kuwakomesha. Yaaani simu unanunua kwa mamilioni na bado unapangiwa nini cha kudownload, website zipi uingie na zipi usiingie, na kuna limitations nyingine kibao.
Wenzetu huko nchi za watu civilized wameona hapana, Apple amezidi mipaka sasa na kila ushenzi anaofanya anasingizia security, EU akaleta sera za kumkomesha
Ukiingia gsmarena huko watu wanalalamika sana kuhusu limitations za iPhone, Ulaya pia wameshachoka huu ujinga ila ukija huku Afrika, kwa sababu anayefanya hayo ni Apple basi wanasema ni Innovation
Very poor minds!
Watu wengi wa Apple ukiwaambia ukweli hata kwa facts watatoa majibu ya kejeli kama hayo ulioyatoa wewe. Mnahusisha sana kununua iPhone na utajiri wakati hata hao Samsung, Xiaomi,Google Pixel, Huawei, Oppo, Vivo na wengine wanazo simu za bei mbaya kama hizo iPhone tena zenyewe ni worth it kuliko iPhone
iOS 17 ikitoka nitaanza kuipenda Apple tena, maana upuuzi wao huu wa sasahivi watautoa kutokana na shinikizo la EU. Sisi Afrika tuendelee kuita innovation
Android kwa sasa ndio mpango mzima
 
Inferiority complex inawatafuna wengi sana, kila siku mnahangaika kujilinganisha…. yote hayo mbona iPhone haijitetei?

Mnateseka bure!
Shida si tunajitetea tatizo ni kuwa nyie ndio mnapenda sana kujimwambafy kwa kitu ambacho sie tunakiona si lolote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…