Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
๐๐ฝ๐ฝ๐น๐ฒ ๐ถ๐บ๐ฒ๐๐ฎ๐ผ๐ป๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐๐บ๐ถ๐ฎ๐ท๐ถ ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ ๐ธ๐๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐ธ๐๐๐๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ท๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ป๐ฑ๐ฟ๐ผ๐ถ๐ฑ ๐ธ๐๐ฐ๐ต๐ฎ๐ท๐ถ๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ๐ผ
Store ya Kampuni ya apple nchini china imewaonya watumiaji wa iphone 15 series kuacha kuchaji simu zao kwa kutumia chaji za simu za android kwani ni hatari kwao.
Baada ya apple kutoa series ya iphone 15 ikiwa zinatumia mfumo wa type C Kwenye kuchaji watumiaji wengi wa iphone wamegundulika wanatumia chaji za Android kuchaji simu zao.
View attachment 2769661
Ripoti inaonyesha Kupitia duka la apple nchini china foshan , wamewaonya watumiaji wa iphone 15 kuacha kutumia chaji za Usb type C za android kwani zinasababisha simu hizo kupata sana joto kutokana na muundo uliowekwq wa simu za android na iphone ni Tofauti pin zake.
Chaji za iphone zinaonyesha Zina mfumo wa pini 9 wakati android 11 hivyo upelekea simu kupata sana joto hivyo wafanyakazi wa apple wanasema kuwa chaji za simu za android sio nzuri kutumia Kwenye apple.
Apple inawashauri watumiaji wa vifaa vyao watumie chaji official kutoka kampuni yao sio Zingine.
View attachment 2769660